Niko kisiwa cha Moyo Moyo mkoa wa Kagera.
Kama kuna mtu anahitaji Dagaa na Fulu kwa bei ya offa comment chini.
bei ganiNiko kisiwa cha Moyo Moyo mkoa wa Kagera.
Kama kuna mtu anahitaji Dagaa na Fulu kwa bei ya offa comment chini.
Dagaa Nauza
kuna Dagaa grade 1.
kuna Grade 2
kuna Grade 3
pia Fuli ni hivyo hivyo
Dagaa
Grade ya kwanza bei ni 8 bila usafiri
Grade ya pili ni 7 bila Usafiri
Grade ya tatu 6 bila usafiri