Kama unaweza kupata hii Mitego kwa bei nafuu naomba unitumie picha na bei.Nahitaji jora tatu.
@kalagutuka Hii ni nchi ngapi?
@gp-logistics
1.Nyavu za kuvua Dagaa MM 8.
2.Kamba MM 83.Kamba MM 124.Kamba MM 14 5.Maboya6.Engine HP 15