Naomba bei za boat kubwa za uvuvi zenye uwezo wa kubeba hadi tani tano.
Mzuri Karibu,kupata hii huduma lazima uwe Trusted Member.
Kwanini boss nilipie Trusted wakati watu wengine ni free member na wana hudumiwa vizuri?