Leo tunatoa offa kwa wateja wetu wote na wapenzi wa Sangara wa kukaa na wa bichi.
Jinsi ya kupata ofa hii
Mwishi wa hii offa ni 8:30 AM May /01/2025.
Naomba kuwa tag wauzaji wa Sangara popote mlipo njoo hapa mtoe huduma @MKEREWE @airoprt-mwanza-samaki @fish-Finder.@Devoth @Sam @Mgeta @Mkomoro @ZRH @Tatu @ZRF-Temeke @Uzaima
15kg Dar.
Naomba 20kg zigawe malambili 10 kg Moro 10 kg Dar.
Hii Tayari boss nimesha tuma.Naomba 20kg zigawe malambili 10 kg Moro 10 kg Dar.