Notifications
Clear all

SAMAKI MCHANGANYIKO [Sticky] TUNATOA OFFA KWA MTU YEYOTE ANAYETAKA SANGARA

13 Posts
10 Users
3 Reactions
72 Views
Digxam
(@digxam)
Posts: 67
Admin
Topic starter
 
Sangara
Sangara2

Leo tunatoa offa kwa wateja wetu  wote  na wapenzi wa Sangara wa kukaa na wa bichi.

Jinsi ya kupata ofa hii 

  • Jisajili.
  • Ingia kwenye jukwaa la Sangara.
  • Create New topic au comment kwa muuzaji yoyote kwenye hii planform.
  • Mwambia kiasi cha Sangara unataka.
  • Utumia hii coupon kupata punguzo la bei DIG-COUPON.
  • Tuma.
  • pass moderation.

Mwishi wa hii offa ni 8:30 AM May /01/2025.

 
Posted : April 30, 2025 5:27 am
Sniper reacted
Sniper
(@sniper)
Posts: 83
Available 100,000
 

@digxam Nomba kilo 10 ya wabichi.

 
Posted : April 30, 2025 5:42 am
Admin
(@admin)
Posts: 15
Admin
 

Naomba kuwa tag wauzaji wa Sangara popote mlipo njoo hapa mtoe huduma @MKEREWE @airoprt-mwanza-samaki @fish-Finder.@Devoth @Sam @Mgeta @Mkomoro @ZRH  @Tatu @ZRF-Temeke @Uzaima 

 
Posted : April 30, 2025 5:48 am
(@mkomoro)
Posts: 1
Seller
 

@sniper Mzigo wako nakuandalia nimekutumia ujumbe kwenye Messenger.

 
Posted : April 30, 2025 6:22 am
Aginess Mkugwe
(@aginess-mkugwe)
Posts: 14
Deposit 50,000
 

15kg Dar.

 
Posted : April 30, 2025 7:02 am
MKEREWE
(@mkerewe)
Posts: 8
Seller
 

@aginess-mkugwe Huna Salio kwenye wallet yako.

 
Posted : April 30, 2025 7:05 am
Aginess Mkugwe
(@aginess-mkugwe)
Posts: 14
Deposit 50,000
 

@mkerewe Nitumie 10kg.

 
Posted : April 30, 2025 7:13 am
MKEREWE reacted
MKEREWE
(@mkerewe)
Posts: 8
Seller
 

@aginess-mkugwe Sawa Madam.Nakuandalia oda yako.

 
Posted : April 30, 2025 7:18 am
Shalom
(@shalom)
Posts: 40
Available 100,000
 

Naomba 20kg zigawe malambili 10 kg Moro 10 kg Dar.

 
Posted : April 30, 2025 7:32 am
Fish Finder reacted
Fish Finder
(@fish-finder)
Posts: 22
Seller
 

@shalom Nakuandalia Mzigo wako.

 
Posted : April 30, 2025 7:35 am
AIROPRT MWANZA SAMAKI
(@airoprt-mwanza-samaki)
Posts: 6
Seller
 

Posted by: @shalom

Naomba 20kg zigawe malambili 10 kg Moro 10 kg Dar.

  Hii Tayari boss nimesha tuma.

 

 
Posted : April 30, 2025 7:55 am
Jasusi Mweusi
(@jasusi-mweusi)
Posts: 43
Balance 0.000
 

@airoprt-mwanza-samaki fanya kg 1 chef

 
Posted : April 30, 2025 8:11 am
MKEREWE
(@mkerewe)
Posts: 8
Seller
 

Posted by: @jasusi-mweusi

@airoprt-mwanza-samaki fanya kg 1 chef

Huna salio boss.

 

 
Posted : April 30, 2025 8:19 am

Digxam

FREE
VIEW