#DIGXAM NINI?
#VIGEZO NA MASHART KWA WATUMIAJI WOTE.
#.WAUZAJI:
#.WANUNUZI:
#JINSI YA KUWEKA BALANCE KWENYE WALLET YAKO DIG-PAY.
#.Admin
#HUDUMA ZA KULIPIA.
#OFFA.
Hiyo pesa kwenye wallet tunaiingizaje.
Niko Kisory Bunda jirani nikuvuka na pantoni narudi Ukerewe,naomba kutumia jukwaa hili kufanya kuuza samakiwa sato na Sangara.
Naweza kuvua tani moja kwa week sato na sangara nahitaji samaki wangu nimuuzie mtu moja tu.
@mkerewe Karibu sana.Kupost ni bishara ni bure 24/7 hakuna shida boss wangu.
@digxam Najua ni bure nahitaji kuwa verified niwe seller tunafanyaje.
@mkerewe Kisory naulini ni 20,000 kwenda na kurudi kutokea Mwanza ghrama ya kukutembelea ni 30 jumla ni 50,000.
Niko Tayari boss wangu.
weka hicho kiasi kwenye wallet yako kesho tukutembelee.
Sawa mkuu.