Niko hapa Kibaigwa Dodoma.
125,000 nikufanyia pamoja na usafiri.
130,000 nipe hiyo kazi boss?
@fish-finder Tayari angalia imekutumia address yangu na mbamba ya simu kwenye private msg.
@kibaigwa Sawa Asante!
Kesho nitakutumia mzigo wako kwenye basi la Zuberi.
Sawa.