Habari ndugu na Jamaa,
kama kuna mtu anaweza kuniuzia Dagaa wa Bukoba wakubwa kwa size pia wawe na changa naomba utwasiliane.
Order yangu kuanzia kg 100 kila week.
@fish-finder Naomba uniandalie order yangu kwa elfu 7,000 gharama zote.
Mzigo wako uko tayari.