#DIGXAM NINI?
- Ni platform ya matangazo ya biashara kwanjia ya kidigital yenye malengo ya kuwakutanisha kati ya wauzaji na wanunuzi pia na watu wenye mahitaji mbalimbali wanaweza kuitumia kwakutengeza posts na kuituma kwa wauzaji kisha ujibiwa na kupata bidhaa zako kwa bei za ushindani.
- Kama ukifuta maelekezo vizuri utauza au kununua bidhaa kupitia platform hii baada ya bisharakazo kununuliwa utapokea pesa zako kwanjia za Ki digital hivyo kupitia kwenye plaform hii ya Digxam sio lazima kuuza bidhaa zako upande gari na kwenda sokono hapana unatumia bando na simu yaka au laptop kuuza na kupokea pesa zako.
- Kuhusu undanganyifu mtandaoni na nje ya mtandao tumefanyikiawa kuthibiti kwa asilia zote,hapa ni seheme salama.
- Kupitia jukwaa hili utaweza kununua vitu kwa bei ndogo vyenye ubora bila kutumia muda mwingi kwa ushindani.
- Watu wengi wanajiuliza masawali mengi kwamba hili jambo linawezekanaje.Jisajili kisha jaribu kununua au kuandika hitaji lako utakuwa bolozi wetu.
- baada ya kutumia huduma zetu tunaomba share kwakutumia button za share kila page zetu zipo hakikisha una share kwenye mitandao ya kijamii ili hudumazetu ziweze kufakikia watu wengi kirahisi bila kutumia nguvu nyingi.
#VIGEZO NA MASHART KWA WATUMIAJI WOTE.
- Kila mwanachama wa platform hii anapaswa kuheshi kanuni na taratibu tulizojiwekea.
- Sio lazima kujisajili kwajina lako kwasababu mifumo yetu inajitosheleza kulinda watumiaji wote.
- Biashara zote zitakazo Tangazwa au kufanyikia kupitia kwenye jukwaa hili,Digxam tunawajibika kuakikisha biashara zinafanyika bila udanganyifu chini ya features za plaform hii pamoja na admins wetu.
- Kama wewe ni muuzaji au mnunuaji hakikisha unaheshimu kanuni za jukwa hili kuepuka kufungiwa account yako.
- Gharama zetu ni ndogo sana ukilinganisha na huduma tunazozitoa kidigital ,wote mnakaribishwa.
#.WAUZAJI:
- Kuweka Tangazo lako la biashara ni bure.
- Makubaliano yote yawekwe wazi.
- Kama hauko Verified Id yako na admin ,marufuku kupokea pesa kutoka kwa mnunuzi moja kwa moja kutoka kwa mnunuzi badala yake utapokea Pesa kabla au baada ya kusafirisha mzigo ,utalipwa na Digxam kupitia admin .
- Wauzaji ambao ni Verified watalipwa kablaya kutuma mzigo moja kwa moja na wanunuzi .
- Kwenye Tangazo lako usiweke namba ya simu badalayake tumia messenger kutuma mawasiliano na vitu vya siri .
- Grama ya ku Verify biashara yako inategea na sehemu ulipo.
- Wasilina na admin kwajili yaku verify biashara yako,tuma maombi hapa kwenye comment section.
#.WANUNUZI:
- Kuweka Tangazo ni bure.
- Post hitajilako kwenye kundi la wauzaji wabidhaa mbalimbali wakiwa sehemu mbalimbali.
- Toa maelezo ya kujitosheleza kwa wauzaji wakuelewe.
- Usifanye makubaliano yoyote na muuzaji nje ya hili jukwaa.
- Baada makubaliona,Weka pesa yako kwenye wallet ya Dig-Pay.
- Fanya Malipo baada ya kupokea mzigo.
- Piga picha post mzigo wako baada ya kupokea.
- Kishare tupe maoni yako kwenye comments section.
- Hakikisha una share content zetu kwenye mitandao ya kijamii.
#JINSI YA KUWEKA BALANCE KWENYE WALLET YAKO DIG-PAY.
- Tumia lipa namba ya Tigo 17556125 jina ni Digxam Trades.
- Unaweza kutumia account CRDB bank 015C598771300.
- Pia unaweza kutumia Account ya NMB Bank ni 23810028976 .
- Kumbukumbu namba tumia use name jina ulilolitumia kusajili.
- Ukiweka pesa yako na kuitoa bila kununua bidhaa,utalipia ghrama za kutolea na kutuma.
#.Admin
- Kazi ya admin kusimamia biashara kati ya muuzaji na mnunuzi kuakikisha hakuna udanganyifu kabla na baada ya mzigo kutumwa.
- Mnunuzi utatulipa sisi kisha tutamlipa muuzaji.
- Malipo yatafanyika kupitia kwenye account zetu hapo juu.
- Tunalinda pandezo mbili kwasabu muuzaji au mnunuzi wote wanaweza kuwa nania mbaya badala ya biashara.
- Kama unajua lengo lako sio kuuza biashara au kununua biashara za watu wengi hapa utapoteza muda wako bora upite.
#HUDUMA ZA KULIPIA.
- Kupini Tangazo lako juu kwa mwezo 5,000.
- Kufanya Verification ya Biashara yako au pata alama ya (SELLER) inategeme sehemu uliopo wasilina na admin.
- Kuweka Tangazo kwenye Head utalipia 15,000 kwa mwezi.
- Kuweka Tangazo lako kwenye Bottom 10,000 kwa mwezi.
- Kuweka Tangazo kwenye Top 10,000 kwa mwezi.
- Kuweka Tangazo lako kwenye foot ni 10,000 kwa mwezo.
- Kuweka Tangazo kwenye Category list 8,000 kwa mwezi.
- Kuweka Tangazi kwenye Forum list 7,00 kwa mwezi.
- Kuweka Tangazo lako kwenye Topic List 6,000 kwa mwezi.
- Kuweka Tangazo lako kwenye Post list 5,000.
#OFFA.
- Tunatoa Ofa ya Tangazo moja bure kwa members wenye sifa zifutazo.
- Amejisajili
- Ameweka profile picture(sio lazima uweke picha yako.
- Tangazo lolote la biashara kwa muda wa mwezi moja.
- Au Kupini Post yako juu bure kwa muda wa mwezi moja.
- Kama unataka ofaa hii comment hapa chini kwenye comments section.
- Hii ofa nikuanzia 04/28/2025 hadi 05/29/2025 tengeneza Tangazo au post leta kwa admn akutangazie bure.
Posted : April 23, 2025 6:25 am