Notifications
Clear all

Kama Unahitaji Samaki au Chakula cha Kuku(1,) Weka Order Yako(2.)Lipia (3.)Pokea Mzigo Wako(4.)Tupe maoni yako.

Digxam [Sticky] TARATIBU NA MIONGOZO KWA WATUMIAJI WOTE.

7 Posts
4 Users
1 Reactions
39 Views
Admin
(@admin)
Posts: 14
Admin
Topic starter
 

#DIGXAM NINI?

  • Ni planform ya matangazo ya biashara kwanjia ya kidigital yenye malengo ya kuwakutanisha  wauzaji na wanunuzi pia watu wenye mahitaji  mbalimbali unaweza kutengeza post nakuituma kwa wauzaji ukapata bidhaa zako kwa bei za ushindani.
  • Kama utafuata maelekezo vizuri  utauza au  kununua bidhaa kupitia planform hii baada ya bisharakazo kununuliwa utapokea  pesa zako kwanjia ya kidigital
  • Kuuza bidhaa zako bila kwenda sokoni na ukapokea pesa zako kwanjia ya kidigital inawezeka kupitia kwetu.
  • Kupitia jukwa hili utaweza  kununua vitu kwa bei ndogo  vyenye ubora bila kutumia muda mwingi.
  • Watu wengi wanajiuliza masawa mengi kwamba hili jambo linawezekanaje.Jisajili kisha jaribu kununua au kuandika hitaji lako.

#VIGEZO NA MASHART KWA WATUMIAJI WOTE.

  • Kila mwanachama wa planform hii anapaswa kuheshi kanuni na taratibu tulizojiwekea.
  • Sio lazima kujisajili kwajina lako kwasababu mifumo yetu inajitosheleza kulinda watumiaji wote. 
  • Biashara zote zitakazo Tangazwa au kufanyikia kupitia kwenye jukwaa hili,Digxam tunawajibika kuakikisha biashara zinafanyika bila udanganyifu chini ya  admins wetu.
  • Kama wewe ni muuzaji  au mnunuaji  hakikisha unaheshimu kanuni za jukwa hili kuepuka kufungiwa account yako.
  • Gharama zetu ni ndogo sana ukilinganisha na huduma tunazozitoa kidigital ,wote mnakaribishwa.

#.WAUZAJI:

  1. Kuweka Tangazo lako biashara  ni bure.
  2. Makubaliano yote yawekwe wazi.
  3. Kama ume Verified Id yako na admin ,utapokea Pesa baada ya kusafirisha mzigo wa mnunuzi.
  4. Utalipwa na Admin badala ya kulipwa na Mnunuzi.
  5. Wauzaji ambao wako Verified watalipwa moja kwa moja na wanunuzi. 
  6. Kwenye Tangazo lako usiweke namba ya simu.
  7. Grama ya ku Verify biashara yako inategea na sehemu ulipo.
  8. Wasilina na admin kwajili yaku verify biashara yako tuma maombi hapa kwenye comment section.

#.WANUNUZI:

  1. Kuweka Tangazo ni bure.
  2. Post hitajilako kwenye undi la wauji wabidhaa mbalimbali wakiwa sehemu mbalimbali.
  3. Toa maelezo ya kujitosheleza kwa wauzaji.
  4. Usifanye makubaliano yoyote na muuzaji nje ya hili jukwaa.
  5. Baada makubaliona,Weka pesa yako kwenye wallet ya Dig-Pay.
  6. Fanya Malipo baada  ya kupokea mzigo.
  7. Piga picha post mzigo wako baada ya kupokea.

#JINSI YA KUWEKA BALANCE KWENYE WALLET YAKO DIG-PAY.

  1. Tumia lipa namba ya Tigo 17556125 jina ni Digxam Trades.
  2. Unaweza kutumia account  CRDB bank  015C598771300.
  3. Pia unaweza kutumia Account ya NMB  Bank ni 23810028976 .
  4. Kumbukumbu namba tumia use name jina ulilolitumia kusajili.
  5. Ukiweka pesa yako nakuitoa bila kununua bidhaa,utalipia ghrama za kutolea.

#.Admin 

  1. Kazi ya admin kusimamia  biashara kati ya muuza na mnunuziji kupitia platform  hii na  kuakikisha hakuna udanganyifu.
  2. Mnunuzi utatulipa sisi kisha tutamlipa muuzaji.
  3. Malipo yatafanyika kupitia kwenye account zetu hapo juu.
  4. Baada ya biashara kukamilika Mnunuzi Muuzaji pamoja au Wote kwa pamoja  unaweza kutoa asante kwa admin na ungozi mzima kwahuduma  bora kwakuandika maoni yako juu ya huduma hii..

 

#HUDUMA ZA KULIPIA.

  • Kupini Tangazo lako juu kwa mwezo 5,000.
  • Kufanya Verification ya Biashara yako au pata alama ya (SELLER) inategeme sehemu uliopo wasilina na admin.
  • Kuweka Tangazo kwenye Head utalipia 15,000 kwa mwezi.
  • Kuweka Tangazo lako kwenye Bottom  10,000 kwa mwezi.
  • Kuweka Tangazo kwenye Top 10,000 kwa mwezi.
  • Kuweka Tangazo lako kwenye foot ni 10,000 kwa mwezo.
  • Kuweka Tangazo kwenye Category list 8,000 kwa mwezi.
  • Kuweka Tangazi kwenye Forum list 7,00 kwa mwezi.
  • Kuweka Tangazo lako kwenye Topic List 6,000 kwa mwezi.
  • Kuweka Tangazo lako kwenye Post list 5,000.

#OFFA.

  • Tunatoa Ofa ya Tangazo moja bure  kwa  members wenye sifa zifutazo.
  1. Amejisajili
  2. Ameweka profile picture(sio lazima uweke picha yako.
  3. Tangazo lolote la biashara kwa muda wa mwezi moja.
  4. Au Kupini Post yako juu bure kwa muda wa mwezi moja.
  5. Kama unataka ofaa hii comment hapa chini kwenye comments section. 

 

 
Posted : April 23, 2025 6:55 am
AIROPRT MWANZA SAMAKI
(@airoprt-mwanza-samaki)
Posts: 5
Seller
 

@Admin Naomba upini  Tangazo langu kwenye post juu.

 
Posted : April 27, 2025 8:46 pm
Digxam
(@digxam)
Posts: 66
Admin
 

@airoprt-mwanza-samaki Tangazo gani?

 
Posted : April 27, 2025 8:49 pm
AIROPRT MWANZA SAMAKI
(@airoprt-mwanza-samaki)
Posts: 5
Seller
 

@digxam Wasafiri Aiport Mwanza

 
Posted : April 27, 2025 8:53 pm
Digxam
(@digxam)
Posts: 66
Admin
 

@airoprt-mwanza-samaki Sawa nitali pin baada ya kutimiza kigezo cha kuweka profile picture kwenye account yako.

 
Posted : April 27, 2025 8:56 pm
Fish Finder
(@fish-finder)
Posts: 21
Seller
 

@digxam Ofa ya matangazo kuanzia lini hadi lini,je naweza kupata ofa ya Tangazo zaidi ya moja?

 
Posted : April 27, 2025 8:58 pm
Digxam
(@digxam)
Posts: 66
Admin
 

@fish-finder Ofa ni mwezi moja tu,Tangazo ni moja kila ID.

 
Posted : April 27, 2025 9:01 pm

Digxam

FREE
VIEW