VIGEZO NA MASHART KWA WATUMIAJI WOTE.
#.WAUZAJI:
- Kuweka Tangazo ni bure.
- Makubaliano yote yawekwe wazi.
- Kama haku Verified na admin ,utapokea Pesa baada ya kusafirisha mzigo wa mnunuzi.
- Utalipwa na Admin badala ya kulipwa na Mnunuzi.
- Wauzaji ambao wako Verified watalipwa moja kwa moja na wanunuzi.
- Kwenye Tangazo lako usiweke namba ya simu.
- Grama ya ku Verify biashara yako inategea na sehemu ulipo.
- Kuwasilina na admin kwajili yaku verify biashara yako tuma maombi hapa kwenye comment section.
#.WANUNUZI:
- Kuweka Tangazo ni bure.
- Toa maelezo ya kujitosheleza kwa wauzaji.
- Usifanye makubaliano yoyote na muuzaji nje ya hili jukwaa.
- Baada makubaliona,Weka pesa yako kwenye wallet ya Dig-Pay.
- Fanya Malipo baada ya kupokea mzigo.
- Piga picha post mzigo wako baada ya kupokea.
#JINSI YA KUWEKA BALANCE KWENYE WALLET YAKO DIG-PAY.
- Tumia lipa namba ya Tigo 17556125 jina ni Digxam Trades.
- Unaweza kutumia account CRDB bank 015C598771300.
- Pia unaweza kutumia Account ya NMB Bank ni 23810028976 .
- Kumbukumbu namba tumia use name jina ulilolitumia kusajili.
- Ukiweka pesa yako nakuitoa bila kununua bidhaa,utalipia ghrama za kutolea.
#.Admin
- Kazi ya admin kusimamia biashara kati ya muuza na mnunuzi kupitia plafrom hii na kuhakikisha hakuna udanganyifu.
- Mnunuzi utatulipa sisi kisha tutamlipa muuzaji.
- Malipo yatafanyika kupitia kwenye account zetu.
- Baada ya biashara kukamilika Mnunuzi Muuzaji pamoja au Wote kwa pamoja unaweza kutoa asante kwa admin na ungozi mzima kwahuduma hii.
Posted : April 23, 2025 7:01 am