Notifications
Clear all

Digxam [Sticky] TARATIBU NA MIONGOZO KWA WATUMIAJI WOTE.

3 Posts
3 Users
0 Reactions
30 Views
Admin
(@admin)
Posts: 14
Admin
Topic starter
 

VIGEZO NA MASHART KWA WATUMIAJI WOTE.

#.WAUZAJI:

  1. Kuweka Tangazo ni bure.
  2. Makubaliano yote yawekwe wazi.
  3. Kama haku Verified na admin ,utapokea Pesa baada ya kusafirisha mzigo wa mnunuzi.
  4. Utalipwa na Admin badala ya kulipwa na Mnunuzi.
  5. Wauzaji ambao wako Verified watalipwa moja kwa moja na wanunuzi. 
  6. Kwenye Tangazo lako usiweke namba ya simu.
  7. Grama ya ku Verify biashara yako inategea na sehemu ulipo.
  8. Kuwasilina na admin kwajili yaku verify biashara yako tuma maombi hapa kwenye comment section.

#.WANUNUZI:

  1. Kuweka Tangazo ni bure.
  2. Toa maelezo ya kujitosheleza kwa wauzaji.
  3. Usifanye makubaliano yoyote na muuzaji nje ya hili jukwaa.
  4. Baada makubaliona,Weka pesa yako kwenye wallet ya Dig-Pay.
  5. Fanya Malipo baada  ya kupokea mzigo.
  6. Piga picha post mzigo wako baada ya kupokea.

#JINSI YA KUWEKA BALANCE KWENYE WALLET YAKO DIG-PAY.

  1. Tumia lipa namba ya Tigo 17556125 jina ni Digxam Trades.
  2. Unaweza kutumia account  CRDB bank  015C598771300.
  3. Pia unaweza kutumia Account ya NMB  Bank ni 23810028976 .
  4. Kumbukumbu namba tumia use name jina ulilolitumia kusajili.
  5. Ukiweka pesa yako nakuitoa bila kununua bidhaa,utalipia ghrama za kutolea.

#.Admin 

  1. Kazi ya admin kusimamia  biashara kati ya muuza na mnunuzi kupitia plafrom hii na  kuhakikisha hakuna udanganyifu.
  2. Mnunuzi utatulipa sisi kisha tutamlipa muuzaji.
  3. Malipo yatafanyika kupitia kwenye account zetu.
  4. Baada ya biashara kukamilika Mnunuzi Muuzaji pamoja au Wote kwa pamoja  unaweza kutoa asante kwa admin na ungozi mzima kwahuduma hii.

 

 
Posted : April 23, 2025 7:01 am
(@fish-finder)
Posts: 11
Balance 0.000
 

Nani anipe ,muomgozo jinsi ya kuweka balance 

 
Posted : April 25, 2025 2:08 am
SHIRA
(@shira)
Posts: 12
Balance 0.000
 

@fish-finder Utanipa  bei gani?

 
Posted : April 25, 2025 5:00 am

Digxam

FREE
VIEW