#DIGXAM NINI?
- Ni planform ya matangazo ya biashara kwanjia ya kidigital yenye malengo ya kuwakutanisha wauzaji na wanunuzi pia watu wenye mahitaji mbalimbali unaweza kutengeza post nakuituma kwa wauzaji ukapata bidhaa zako kwa bei za ushindani.
- Kama utafuata maelekezo vizuri utauza au kununua bidhaa kupitia planform hii baada ya bisharakazo kununuliwa utapokea pesa zako kwanjia ya kidigital
- Kuuza bidhaa zako bila kwenda sokoni na ukapokea pesa zako kwanjia ya kidigital inawezeka kupitia kwetu.
- Kupitia jukwa hili utaweza kununua vitu kwa bei ndogo vyenye ubora bila kutumia muda mwingi.
- Watu wengi wanajiuliza masawa mengi kwamba hili jambo linawezekanaje.Jisajili kisha jaribu kununua au kuandika hitaji lako.
#VIGEZO NA MASHART KWA WATUMIAJI WOTE.
- Kila mwanachama wa planform hii anapaswa kuheshi kanuni na taratibu tulizojiwekea.
- Sio lazima kujisajili kwajina lako kwasababu mifumo yetu inajitosheleza kulinda watumiaji wote.
- Biashara zote zitakazo Tangazwa au kufanyikia kupitia kwenye jukwaa hili,Digxam tunawajibika kuakikisha biashara zinafanyika bila udanganyifu chini ya admins wetu.
- Kama wewe ni muuzaji au mnunuaji hakikisha unaheshimu kanuni za jukwa hili kuepuka kufungiwa account yako.
- Gharama zetu ni ndogo sana ukilinganisha na huduma tunazozitoa kidigital ,wote mnakaribishwa.
#.WAUZAJI:
- Kuweka Tangazo lako biashara ni bure.
- Makubaliano yote yawekwe wazi.
- Kama ume Verified Id yako na admin ,utapokea Pesa baada ya kusafirisha mzigo wa mnunuzi.
- Utalipwa na Admin badala ya kulipwa na Mnunuzi.
- Wauzaji ambao wako Verified watalipwa moja kwa moja na wanunuzi.
- Kwenye Tangazo lako usiweke namba ya simu.
- Grama ya ku Verify biashara yako inategea na sehemu ulipo.
- Wasilina na admin kwajili yaku verify biashara yako tuma maombi hapa kwenye comment section.
#.WANUNUZI:
- Kuweka Tangazo ni bure.
- Post hitajilako kwenye undi la wauji wabidhaa mbalimbali wakiwa sehemu mbalimbali.
- Toa maelezo ya kujitosheleza kwa wauzaji.
- Usifanye makubaliano yoyote na muuzaji nje ya hili jukwaa.
- Baada makubaliona,Weka pesa yako kwenye wallet ya Dig-Pay.
- Fanya Malipo baada ya kupokea mzigo.
- Piga picha post mzigo wako baada ya kupokea.
#JINSI YA KUWEKA BALANCE KWENYE WALLET YAKO DIG-PAY.
- Tumia lipa namba ya Tigo 17556125 jina ni Digxam Trades.
- Unaweza kutumia account CRDB bank 015C598771300.
- Pia unaweza kutumia Account ya NMB Bank ni 23810028976 .
- Kumbukumbu namba tumia use name jina ulilolitumia kusajili.
- Ukiweka pesa yako nakuitoa bila kununua bidhaa,utalipia ghrama za kutolea.
#.Admin
- Kazi ya admin kusimamia biashara kati ya muuza na mnunuzi kupitia planform hii na kuhakikisha hakuna udanganyifu.
- Mnunuzi utatulipa sisi kisha tutamlipa muuzaji.
- Malipo yatafanyika kupitia kwenye account zetu hapo juu.
- Baada ya biashara kukamilika Mnunuzi Muuzaji pamoja au Wote kwa pamoja unaweza kutoa asante kwa admin na ungozi mzima kwahuduma bora kwakuandika maoni yako juu ya huduma hii..
Posted : April 23, 2025 6:40 am