Napataje mawasiliano yako?
Unaweza nicheki kwa number ××××××××××
@kaganda nimeweka number zangu za simu ila.wameweka x ina maana hii site inakuwa kati kati ya wateja au ?
Nimewatext wahusika wa hii site lwa email. Mimekiunga baada ya kuelekezwa humu
HHawajaandika utaratibu inakuwa ngumu sana
Oh wanafanya biashara badala ya wateja aisee huu utaratibu mbaya sana. Kwa sababu hizo CD ji vitu vya zamani na nahitaki kuzikagua kwa macho. Wangeweka utaratibu wa kujiunga kwa commission.
Moderator utaratibu wako sio mzuri kwa case kama hizi. Anauza santuri CD za zamani, mnalipaje badala ya mteja?
Mnatufukuza kwenye site zenu. Nahitaji kuwasiliana na mmiliki wa hii site kwa simu nimshauri.
Nimeoata email kutoka kwa wahusika wanadai ili kiweza kuwasiliana direct mmoja wetu anatakiwa kulipia subscriptions
Hii site ina mfumo tofauti na site tulizozoea
@gily Pole sana kwausumbufu!
Kupata huduma za Private kama kutuma na kupokea namba za simu au kufanya mawasiliano ya watu wawili inabadi ulipe kifurushi cha Subscriptions, Basic Membership gharama yake ni 30,000 kwa mwaka .
Kuna taratibu mihimu za kiusalama amabazo zitafanyika kabla ya kuwaunganisha mnunuzi na muuzaji,kama utakuwa tayari unaweza kulipia kisha utaunganishwa na muuzaji kwa huduma hii.
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link
Mwenzangu aliyepost huu uzi labda alipie. Biashara anayouza lazima niithaminishe kwanza kujua uhalali wake na kama zinafaa
Pili, sio kitu ambacho kinauzika mara kwa mara I doubt kama nitakuta tena hapa.
@kaganda lipia wateja wako tuweze ona number zako
Kwema mkuu habari za asubuhi.
Ninzima mkuu usiofu nikipata nitalipia Usijali.
@kaganda unauza sh ngapi? Na unaweza weka picha hapa nione?
Biashara hizi huwezi kufanya bila kuona bidhaa. Hapa wamenieleza kulipia elfu 30 ili niweze kupata mawasiliano yako.
Weka picha ya santuri ulizonazo na bei. Kama nimezipenda nitakujuza hapa kisha uwalipe wakupe number zangu za simu. Ili tufanye biashara. Kwa sababu unaonekana wewe ni mfanya biashara humu ndani
Nimeelekezwa kuwa umepost huku
Hapo studio ni karibu siko mbali sana.
@kaganda safi kabisa. Malizana na moderators tufanye biashara. Ninumue hizo santuri
Kwani wewe unataka pcs ngapi hapa ziko 12 kila moja utanupa 15,000.@kaganda unauza sh ngapi? Na unaweza weka picha hapa nione?
Biashara hizi huwezi kufanya bila kuona bidhaa. Hapa wamenieleza kulipia elfu 30 ili niweze kupata mawasiliano yako.
Weka picha ya santuri ulizonazo na bei. Kama nimezipenda nitakujuza hapa kisha uwalipe wakupe number zangu za simu. Ili tufanye biashara. Kwa sababu unaonekana wewe ni mfanya biashara humu ndani
Nimeelekezwa kuwa umepost huku
Hapo studio ni karibu siko mbali sana.
Weka picha nione santuri ulizonazo ni za aina gani
@gily mkuu nimefika kiwango cha mwisho cha upload,mzigo uliopo ni 12 tu boss wangu.Ngoja nikilipia nitaweza kupa access zaid ya uploading.
Sehemu ya attach file hakuna bro hata hiyo moja na tuma je ?
@kaganda hizo na mwanzo mbona uli attach?
Una attach na hizo nyingine ili nizione. Ukiwa unauza kitu unaziweka kwa sababu miziki yake inatofautiana