Kama kichwa cha habari kinavyosema,nahitaji boat yenye uweze wakubeba watu wa nne,kwajili ya matumizi binafsi ya kutalii kwenye maji.
Kama kuna mtu mwenye taarifa naomba picha na bei yake.
Used ambayo bado iko vizuri lakoni.
35ml kilakitu hadi hapo Tz,iko vizuri imetumika kigo sana.Iko Durban.
Parefu sana nitafutie ya bei rahisi kama 15ml.