Hii ni Tekinolojia boss Gari likiingia kwenye tope au sehemu ambako inahitajioa 4WD inajiingiza yenyewe,Gari likipita sehemu mbaya inajitoa yenyewe.
Serious! Au ni Full time 4WD?
Nop hii ni Aut 4WD mkuu.
Sina sababu ya kusema uongo!
36ml.
Hili Gari liko Kahama sehemu gani?
Mbona usajili bado?
Hili Gari linadawa ushuru bei gani?
Kwanini halina namba?
@lucy-walter Namba sijaomba but Gari halidaiwi hata mia.
Niko hapa kwenye jengo la minada ya Madini ukiingia ndani utalikuta hapo.Hili Gari liko Kahama sehemu gani?
Mbona usajili bado?
Ukitaka pesa ya fasta nitumie private message niko huku isaka kwenye mradi wa pipeline.
Kidogo mgeni hapa.
36.5
Nimelikagua tayari, nadhani mnatakiwa kuandaa mazingiza mazuri ya ukaguzi ni watu wachache wataweza kuingia kwenye mnada na kubid bila kukagua bidhaa.
@uchebe Ukaguzi unaweza kufanyika mwanzo au mwisho kubid na kushinda mnada sio kulipia Gari kanunu za mnada ziko wazi zipitie usitie watu woga.
Kanuni ya 19 ya mnada wa mtandaoni inasema hivi muuzaji anawajibika kutolea maelezo bidhaa zake bila kuficha kitu chochote.
Kilakitu kiko wazi siwe kuficha kwasababu nataka kuuza mali yangu.Kanuni ya 19 ya mnada wa mtandaoni inasema hivi muuzaji anawajibika kutolea maelezo bidhaa zake bila kuficha kitu chochote.
Jana nimeliona ndio maana nasema bajet yangu ni 37.
Habari wapendwa!
Siku zaimebaki chache kama bado bid ujishindie Gari lako kabla ya mnada kuisha.Kukagua gari ni bure fika office ya Madini Kamahama.
37ml.
37,5
Mnada umeisha @Lucy-Walter umeshinda mnada wa hili Gari.
what next?
Mbana kimya kimya, mnada umeisha?
Mnada umefika mwisho lakini bado Gari halijalipiwa.Nitafunga mnada Gari likilipiwa.what next?