Notifications
Clear all

NATAFUTA KAZI. KAMA UNAHITAJI KAZI ZA NDANI FATA MAELEKEZO HAYA.

2 Posts
2 Users
0 Reactions
111 Views
(@hello-dar)
Posts: 3
Balance 0.000
Topic starter
 

KAMA UKO SERIOS UNATAKA KAZI ZANDANI. 

  • TAJA MAJINA YAKO YOTE HAPA.
  • TAJA UMRI.
  • TAJA KABILA.
  • TAJA SEHEMU ULIPO.
  • WEKA KAMA UMEWAI FANYA HII KAZI. 
  • KAMA UMEWAI FANYA NI MUDA GANI. 
  • FAMILIA YA WATU WANGAPI ULIHUDUMIA.
  • UNAHITAJI FAMILIA YA WATU WANGAPI.
  • UNATAKA KAZI MKOA GANI.
  • WEKA NA PICHA YAKO FULL UONEKANE MZIMA.
  • HAKIKISHA UNAWEKA KWENYE  QUESTION SIO KWENYE COMMENTS. 
 
Posted : December 21, 2024 8:09 am
(@myname-is-dunge)
Posts: 6
Balance 0.000
 

Nahita msichana wa ndani 50k kwa mwezi.

 
Posted : March 16, 2025 10:16 am


Digxam

FREE
VIEW