Habari!
Nashida na Bawaba za kuchongo na nondo kwajili ya kutengezea Mageti ya milango ya nyumba,kama kuna mtu mwenyenazo naomba kujua bei ya size zifutazo.
Jamaa yuko Damp kuna jamaa moja anazichonga.