Habari wakuu!
Nauza viazi kutoka Iringa moja kwa moja Njombo kwanjia ya Mnada.
Kama unahitaji Viazi kwajili ya kupika au kutengeneza chips au kwajili ya clips natwasiline kwanjia ya mnada,Unaweza sema unahitaji hili gunia kwa bei gani.
Sema ulipo ili nijue hgarama za usafiri.
Taja offa yako utaoa ngapi gunia unalia hapo shungi.
Nani kasema?