@mbuta-likasu Ngoja nakuulizia bei ya usafiri na utaratibu mzima wa kusafirisha mahindi kutomba Mbeya Tunduma kuja DRC Lubumbashi.
@zaitun Naoba uniulizie pamoja na bei za kusafirisha
Niku namba ya jamaa wanaosafirisha mizigo kwenda Dar?
Nashida na Tan 10 za mahindi niko Ilala Dar.
Usafiri bei?