Nauza Mahindi Mabichi kwajili ya kuchoma na kuchemsha.
Location niko Kinyerezi Dar .
Napokea pesa kwa Dig-Cash tu.
mahindi 10 kila mnada.
bei ya kuanzia 10,000
pay out 20,000.
Karibu sana.Mahindi ni fresh sukari ya kutosha.
Nipigie nikupe maelekezo 0712 201857
Kwema?
Mhindi 10,000