Habari wakuu mwenye kuuza hii gari Nissan NP 300 hardbody 2015..2.0L double cabin
2015 Nissan Hardbody Np300 2.4i LWB 4x4 Pick Up Single Cab
Muonekanano kama hii hapa kwenye picha?
Hili Gari hakikisha unapa Desel Engine.
Mileage 200,000 utachukua?
Hili Gari lipo linahitaji 32ml liko Dar.
0782885425
@luyanda-criss nmepiga kapokea mtu mwingne…huna namba nyingne
Hizi Gari zote petrol,kama una bajet ya Rand 100,000 nitakupa moja mzuri.