Click The VIDEO Learn How to Register On The Website.
Hii ni Tekinolojia boss Gari likiingia kwenye tope au sehemu ambako inahitajioa 4WD inajiingiza yenyewe,Gari likipita sehemu mbaya inajitoa yenyewe.
Serious! Au ni Full time 4WD?
Nop hii ni Aut 4WD mkuu.
Sina sababu ya kusema uongo!
36ml.
Hili Gari liko Kahama sehemu gani?
Mbona usajili bado?
Hili Gari linadawa ushuru bei gani?
Kwanini halina namba?
@lucy-walter Namba sijaomba but Gari halidaiwi hata mia.
Niko hapa kwenye jengo la minada ya Madini ukiingia ndani utalikuta hapo.Hili Gari liko Kahama sehemu gani?
Mbona usajili bado?
Ukitaka pesa ya fasta nitumie private message niko huku isaka kwenye mradi wa pipeline.