Habari @jonson-john nahita Gari la kutembele aina ya Vanguard,
JeupeΒ
km zisididi 100,000.
Bajet yangu na 35,ml.
@paulo-aman Unataka Gari la mwaka Gani?
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Mwaka kwangu sio tatizo kikibwani nipate gari ikina mzuri.
Chukua namba yangu ya whatspp nikutumie picha na bei zake.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
@jonson-john Naomba mtushirikishe hii,hiiΒ Thread tunaifatilia wengi tunataka kujua bei ya hili Gari.
Asante karibu tana.