Notifications
Clear all

Sponsored [Sticky] Pricing Plans and Billing

158 Posts
79 Users
179 Reactions
2,420 Views
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

‼️SASA UNAWEZA AGIZA KITU CHOCHOTE  UKIWA POPOTE NA UKALIPIA BAADA YA KUPATA MZIGO WAKO!

  • Unaweza kuagiza kitu chohote kutoka nchi zifutazo.
  1. Nadani ya Tanzania.
  2. Africa Mashariki.
  3. Nchi za SADC.
  4. Dubai.
  5. Ulaya.
  6. Japan .
  7. Marekani.
  8. nk.

2.Vitu ambavyo unaweza kuagiza ni pamoja na:

  • Magari aina zote.
  • Vifaa vya Electronics.
  • Mitambo.
  • Pikipiki aina zote .
  • Vyombo Vya Baharini.
  • Vifaa vya Michezo .
  • Spare za Magari na Mitambo.
  • Meli,Boat na Vivuko.
  • Vifaa vya ujenzi.
  • nk

3.Jinsi ya kuagiza Mzigo wako:

  1. Jisajili kwnye hii webite 
  2. Fungua Topic. 
  3. Andika Kichwa cha Habari.
  4. Andika Maelezo ya kushiba.
  5. Ikibidi weka picha kuonyesha nfano bidhaa unayotafuta.
  6. Kisha Tuma.
  7. Ngoja Moderator apitie post yako. 
  8. Ndani ya masaa 24 itakuwa approved na Moderators wetu. 
  9. Kama wauzazi watakuwa na bidhaa unayoitafuta  kwenye store hakuna gharama utachajiwa .
  10. Kama bidhaa hawatakuwanayo kwenye store,Cahugua Kifurushi chako mapema.

4.JINSI YA KUAGIZA GARI AU PIKIPIKI.

  1. Jisajili,
  2. Fungua Topic, 
  3. Andika Maelezo ya bidhaa au Gari,
  4. kama Iana ya Gari,
  5. Mwaka,
  6. CC,
  7. Rangi,
  8. Kuta nchi gani,
  9. km,
  10. Bajet yako. 

5.KWA UPANDE WA WAUZAJI.

  • Baada ya Tangazo lako kuwa approved na Moderators, wauzaji wakiwa sehemu mbalimbali wataona Tangazo lako na kukujibu.
  • Kisha utapewa hesabu ya gharama ya bidhaa zako kutoka kwa wauzaji waliko Nchi mbalimbali kwa bei ya ushindani.
  • Ukishaikubali bei, mzigo wako utasafirishwa kulingana na  address yako utakayo toa.
  • Mzigo ukifika mchini kwako,utapewa taarifa.
  • Utatakiwa kulipia mzigo wako baada ya kufuki na kuuna kwa macho yako.

JINSI YA KULIPIA MZIGO WAKO BAADA YA KUFIKA.

 

JINSI YA KULIPIA MZIGO WAKO AU KIFURUSHI KWAJILI YA MATUMIZI MBALIMBALI NDANI YA WEBSITE YETU .

How to top up your balance.

  • Use mobile money.
  •  Bank 
  • Western Union 
  • PayPal 
  • Bitcoin 

Bank Account

  • Bank Name Digxam Trades 
  •  Ac Number 015C598771300
  • Bank name CRDB  

Mobile Money 

  • Tumia lipa kwa simu.
  • Mtandao wa  :TIGO.
  • Namba ya Lipa :175 561 26
  • Jina :Digxam Trades. 

More info contact admin. 

  • @admin 
  • info@digxam.site 
  • whatspp +8180-2071-7421
  • whatspp +255- 6545 07950
  • Whatspp +27-718-219-244

JUKWAA LA MINADA YA ONOLINE.

 

Kama unahitaji huduma ya minada kama kubid au kuuza bishara yako kwanjia ya mnada unatakiwa  kulipia deposit kwasabu ukishinda mnada utapaswa kulipia bidhaa zako ulizoshinda.

VIFURUSHI VYA MINADA KAMA IFUTAVYO. 

  1. Minada yenye dhamani ndogo kifurushi ni 10,000 kwa mwaka.
  2. Minda Yenye dhamani kubwa Kifurushi ni 100,000 kwa mwaka.

VEGEZO NA MASHARTI YA MINADA.

  • KIFURUSHI cha 10,000 kitakuweza kushiriki minada yote yenye thamani ya pesa ndogo bila kuwa na balance kwenye ewallet yako,utakaposhinda mnada utapewa muda wa kulipia mnada wako.
  •  KIFURUSHI CHA 100,000 Pia kitakuweza kushiriki minada yote yenye thamani ya pesa nyingi bila kuwa na balance kwenye ewallet yako,utakaposhinda mnada utapewa muda wa kulipia mnada wako.
  • UKISHINDWA KULIPIA MNADA KWA MUDA: Kwamujibu wa kanunizetu zetu za minada ya online ukishindwa kulipia mnada wako wa muda wa masaa 24 admin anaweza kufuta kifurushi chako cha mwaka.
  • Hii pesa hairudishi kwa mwanachama au mshiriki.
  • Maelezo zaidi kuhusu mashart Vigezo na Kanuni za  minada ya online   zinaptina kwenye policy na rulers kabla ya kujisajili kwenye website.

KIFURUSHI CHA MINADA.

Minada yenye dhamani ndogo kifurushi ni 10,000 kwa mwaka.

Minda Yenye dhamani kubwa Kifurushi ni 100,000 kwa mwaka.

VEGEZO NA MASHARTI YA MINADA.

  • KIFURUSHI cha 10,000 kitakuweza kushiriki minada yote yenye thamani ya pesa ndogo bila kuwa na balance kwenye ewallet yako,utakaposhinda mnada utapewa muda wa kulipia mnada wako.
  •  KIFURUSHI CHA 100,000 Pia kitakuweza kushiriki minada yote yenye thamani ya pesa nyingi bila kuwa na balance kwenye ewallet yako,utakaposhinda mnada utapewa muda wa kulipia mnada wako.
  • UKISHINDWA KULIPIA MNADA KWA MUDA: Kwamujibu wa kanunizetu zetu za minada ya online ukishindwa kulipia mnada wako wa muda wa masaa 24 admin anaweza kufuta kifurushi chako cha mwaka.
  • Hii pesa hairudishi kwa mwanachama au mshiriki.
  • Maelezo zaidi kuhusu mashart Vigezo na Kanuni za  minada ya online   zinaptina kwenye policy na rulers kabla ya kujisajili kwenye website.

JINSI YA KULIPIA KIFURUSHI CHAKO.

How to top up your balance.

  • Use mobile money.
  •  Bank 
  • Western Union 
  • PayPal 
  • Bitcoin 

Bank Account

  • Bank Name Digxam Trades 
  •  Ac Number 015C598771300
  • Bank name CRDB  

Mobile Money 

  • Tumia lipa kwa simu.
  • Mtandao wa  :TIGO.
  • Namba ya Lipa :175 561 26
  • Jina :Digxam Trades. 

Hakikisha unafanya mambo yafuatayo.

  •  jisajili Hapa.
  • subscribe new topics Hapa.
  • share pages zetu kwenye mitandao ya kijamii.

By Veronica Victor Admin. 

 

 
Posted : February 14, 2024 10:52 am
Jecha, Aisha, EmmyName and 94 people reacted
Husan Jusa
(@husan-jusa)
Posts: 17
Available 100,000
 

Nice 👍 

 
Posted : March 1, 2024 9:50 am
EmmyName reacted
Justin Omundi
(@justin-omundi)
Posts: 22
DIG-PESA
 

Posted by: @Anonymous

Cost ni elf 50,000-hadi 1ml  kwa mwaka kulinga na mahitaji yako kupitia kwenye platform zetu.

 

Namimi naomba uniunganishe nione inakuwaje?

 

 
Posted : March 1, 2024 9:50 am
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Tayari.

 
Posted : March 1, 2024 9:50 am
Justin Omundi
(@justin-omundi)
Posts: 22
DIG-PESA
 

Asante 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😱😱🇹🇿🇿🇦

 
Posted : March 1, 2024 9:50 am
EmmyName reacted

SHINDA 50K KWAKUWA NA POSTS,LIKES PAMOJA NA VIEWS KWENYE CONTENT ZAKO .

Maelezo Zaidi Bonyeza Hapo Chini.

(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Mnaweza kilipia baada ya kupata ofa kabla ya kuondolewa kwenye paid member ship.

 
Posted : March 1, 2024 9:50 am
EmmyName reacted
Justin Omundi
(@justin-omundi)
Posts: 22
DIG-PESA
 

Tunalipaje naomba jina ya malipo usiniondoe 

 
Posted : March 1, 2024 9:50 am
EmmyName reacted
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Posted by: @justin-omundi

Tunalipaje naomba jina ya malipo usiniondoe 

Chagua njia moja wapo kati ya kulipia kwa njia ya bank Simu au PayPal.

 

 
Posted : March 1, 2024 9:50 am
Donatha Mshamba
(@donatha-mshamba)
Posts: 21
DIG-PESA
 

Namimi naomba uniunge nishawishika naweza kulipia hii membership haloooo.

 
Posted : March 1, 2024 9:50 am
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Sawa nitakuunga free kwa siku mbili tu.

 
Posted : March 1, 2024 9:50 am
EmmyName reacted

JIPATIE SIMU MZURI ORIGINAL KWA BEI YA RAHISI SANA.

Pata Simu Bei Rahisi Kutoka Japan,Kwamuda wa Week Moja Tu.

Donatha Mshamba
(@donatha-mshamba)
Posts: 21
DIG-PESA
 

Asante!

 
Posted : March 1, 2024 9:50 am
EmmyName reacted
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 
 

Njia ya kulipia membership yako ni Hii hapa,tumia  lipa kwa Simu,unaweza kutumia lipa Kisha Tunza receipt yako inaweza hitajika.

 
Posted : March 1, 2024 9:50 am
EmmyName reacted
(@emanuel-justnine)
Posts: 11
Available 100,000
 

Naomba na mimi niunganishwe.

 
Posted : March 1, 2024 9:50 am
EmmyName reacted
Josephe chacha
(@josephe-chacha)
Posts: 20
DIG-PESA
 

Naomba na mimi niungwe bhanaa nikizichanga nitatoa

 
Posted : March 1, 2024 9:50 am
EmmyName reacted
Allan Madenge
(@allan-madenge)
Posts: 22
DIG-PESA
 

Namimi ikikupendeza niunge.

 
Posted : March 1, 2024 9:50 am
EmmyName reacted

TANGAZA BIASHARA YAKO BURE UPATA VIERS 10K KWA WEEK .

Leta Biashara Yako Tukutangazie Bure.

Tuambie Unauza Biashara Gani Au Unatoa Huduma Gani na Unapatikana sehem Gani.

Baada ya Kujisaji Fungua Page Kisha comment hapo chini .

Malingumu
(@malingumu)
Posts: 44
DIG-PESA
 

Hata mimi pia.

 
Posted : March 1, 2024 9:50 am
EmmyName reacted
Mwalimu Group Co LTD
(@mwalimu-group-co-ltd)
Posts: 13
Available 100,000
 

Nimelipa angalia malipo kutoka kwenye jina la Kampuny yangu.

 
Posted : March 1, 2024 9:50 am
EmmyName reacted
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Tayari nimekuunganisha.

 
Posted : March 1, 2024 9:50 am
EmmyName reacted
Mwalimu Group Co LTD
(@mwalimu-group-co-ltd)
Posts: 13
Available 100,000
 

Ok sawa.

 
Posted : March 1, 2024 9:50 am
EmmyName reacted
Hirano Motohiro
(@hirano-motohiro)
Posts: 25
 

Noted 

 
Posted : March 1, 2024 9:50 am
EmmyName reacted

TANGAZA NA KUUZA BIASHARA ZAKO KWA NJIA YA MNADA WA KIDIGITAL .

Kwa 10,000 Unashiriki Minada Kwamuda wa Mwaka Mzima.

Shiriki Mnada Ujipatie Bidhaa Kwa Bei Nafuu Sana.

Twaha Fadhiri
(@twaha-fadhiri)
Posts: 26
DIG-PESA
 

Sawa niunge 

 
Posted : March 1, 2024 9:50 am
EmmyName reacted
Mzawa
(@mzawa)
Posts: 17
Karibu! Public Figure
 

Habari natafuta pamp la mbele la Toyota furtuner na taa zake naomba uniunge  nimeshindwa kuhudumiwa naomba uniunge kifurushi cha 24hrs  nipate huduma.

 
Posted : March 1, 2024 10:21 am
EmmyName reacted
Moderator
(@moderator)
Posts: 111
Moderator
 

@neema Ndiyo ada ndio hiyo.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

 
Posted : March 1, 2024 10:54 am
(@neema)
Posts: 32
DIG-PESA
 

@moderator  mkipunguza mimi ndio nitakuwa wa kwanza kulipia

 
Posted : March 1, 2024 10:57 am
meruly
(@meruly)
Posts: 31
Deposit 200,000
 

Naomba niunganishwe na Trusted package naomba lipa namba. 

 
Posted : March 2, 2024 1:05 pm
EmmyName reacted

SHIRIKI MINADA YA KIDIGITAL ONLINE UKIWA NYUMBANI ,DUKANI,KAZINI SAFARINI AU SEHEMU YOYOTE YENYE MTANDAO.

(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

@meruly  6866794 Digxam Trades

 
Posted : March 2, 2024 1:12 pm
meruly
(@meruly)
Posts: 31
Deposit 200,000
 

@admin Tayari mkuu.

 
Posted : March 2, 2024 1:14 pm
(@mutalemwa)
Posts: 17
Deposit 200,000
 

Habari

 
Posted : March 5, 2024 5:40 am
EmmyName reacted
(@senforoza)
Posts: 26
DIG-PESA
 

ref 2334555

 
Posted : March 5, 2024 7:55 am
EmmyName reacted
(@nathansimon)
Posts: 2
Balance 0.000
 

Huu nfumo unaweza kuwa mzuri sana japokua ni mpya.

 
Posted : March 5, 2024 11:40 am
EmmyName reacted

(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Natoa ofa kwa watu 5 wa mwanzo ku coment  kupa Membership bure bila kulipa pesa, itafanya kazi kwamuda wa mwaka moja, utapa haki asawa na memebers wengine waliolipia pesa.

Chafunya comment neno,naomba kuungwa na huduma ya 

 Paid membership au Trusted Membership bure.

 

Muda ni masaa 24 hadi kesho saa moja kamili  jioni kwa saa za Africa masharaki.

 
Posted : March 7, 2024 4:20 pm
Aza
 Aza
(@aza)
Posts: 17
Balance 0.000
 

Habari mimi Aza naomba kuungwa na huduma ya 

 Paid membership au Trusted Membership bure.

 
Posted : March 7, 2024 4:27 pm
(@janeth)
Posts: 2
Deposit 200,000
 

Naomba kuungwa na huduma ya  Paid membership au Trusted Membership bure.

 
Posted : March 7, 2024 4:30 pm
(@shadia)
Posts: 7
Deposit 200,000
 

Naomba kuungwa na huduma ya  Paid membership au Trusted Membership bure.

 
Posted : March 7, 2024 4:31 pm
(@kidali)
Posts: 16
Available 100,000
 

Naomba kuungwa na huduma ya  Paid membership au Trusted Membership bure.

 
Posted : March 7, 2024 4:33 pm

SHINDA 50K KWAKUWA NA POSTS,LIKES PAMOJA NA VIEWS KWENYE CONTENT ZAKO .

Maelezo Zaidi Bonyeza Hapo Chini.

(@shadida)
Posts: 2
Balance 0.000
 

naomba kuungwa na huduma ya  Paid membership au Trusted Membership bure.

 
Posted : March 7, 2024 4:59 pm
(@amoori-mahabudu)
Posts: 18
Deposit 200,000
 

naomba kuungwa na huduma ya  Paid membership au Trusted Membership bure.

 
Posted : March 7, 2024 5:19 pm
(@kasusura)
Posts: 7
DIG-PESA
 

Habari  naomba kuungwa na huduma ya Paid membership au Trusted Membership bure.

 
Posted : March 7, 2024 5:32 pm
(@ndalama)
Posts: 15
Deposit 50,000
 

Naomba niunganishwe.

 
Posted : March 7, 2024 8:50 pm
(@ndalama)
Posts: 15
Deposit 50,000
 

Higera sana! Acha twende na wakati.

 
Posted : March 7, 2024 8:54 pm
EmmyName reacted

JIPATIE SIMU MZURI ORIGINAL KWA BEI YA RAHISI SANA.

Pata Simu Bei Rahisi Kutoka Japan,Kwamuda wa Week Moja Tu.

(@majid)
Posts: 25
Unlimited Member
 

Habari mimi Majid  naomba kuungwa na huduma ya Paid membership au Trusted Membership bure.

 
Posted : March 7, 2024 9:17 pm
(@samsoni-sarapioni)
Posts: 16
Deposit 50,000
 

Habari mimi naomba kuungwa na huduma ya  Paid membership au Trusted Membership bure.

 
Posted : March 7, 2024 10:24 pm
Victor Mtungamo
(@victor-mtungamo)
Posts: 13
DIG-PESA
 

Naomba kuunganishwa.

 
Posted : March 7, 2024 10:38 pm
(@karuta)
Posts: 27
Available 100,000
 

naomba kuungwa na huduma ya Paid membership au Trusted Membership bure.

 
Posted : March 8, 2024 6:25 am
(@kidali)
Posts: 16
Available 100,000
 

🖐️ 🖐️ 🖐️ 🖐️ 🖐️ 🖐️ 🖐️ 🖐️ 🖐️ chante chamani

 
Posted : March 8, 2024 1:33 pm

TANGAZA BIASHARA YAKO BURE UPATA VIERS 10K KWA WEEK .

Leta Biashara Yako Tukutangazie Bure.

Tuambie Unauza Biashara Gani Au Unatoa Huduma Gani na Unapatikana sehem Gani.

Baada ya Kujisaji Fungua Page Kisha comment hapo chini .

(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Ahsante kwa kushiriki  tukijaliwa siku nyingine.

 
Posted : March 8, 2024 4:22 pm
 Gily
(@gily)
Posts: 15
Balance 0.000
 

Mungu alipenda

 
Posted : March 8, 2024 10:32 pm
(@kashangaki)
Posts: 20
DIG-PESA
 

Safii sana 😢 

 
Posted : March 13, 2024 8:26 am
(@gerard)
Posts: 11
DIG-PESA
 

Ngoja nipitie tena.

 
Posted : March 13, 2024 9:37 am
Director Rahimu Producer
(@director-rahimu-producer)
Posts: 19
DIG-PESA
 

Point correction.

 
Posted : March 13, 2024 9:42 am

TANGAZA NA KUUZA BIASHARA ZAKO KWA NJIA YA MNADA WA KIDIGITAL .

Kwa 10,000 Unashiriki Minada Kwamuda wa Mwaka Mzima.

Shiriki Mnada Ujipatie Bidhaa Kwa Bei Nafuu Sana.

(@guguleth)
Posts: 11
Deposit 200,000
 

Ok

 
Posted : March 13, 2024 10:12 am
(@senforoza)
Posts: 26
DIG-PESA
 

Sawa

 
Posted : March 13, 2024 10:38 am
Fundi Magari
(@fundi-magari)
Posts: 11
Service Provider
 

Asante kwa taarifa.

 
Posted : March 16, 2024 2:55 pm
EmmyName reacted
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Kimeongeza access unawza kupa huduma zaidi ya mwanzo.

 
Posted : March 20, 2024 1:51 pm
Malingumu
(@malingumu)
Posts: 44
DIG-PESA
 

Nataka kuhamia kwenye kifurushi kibwa zaidi ya hiki nifanyeje?

 
Posted : March 20, 2024 2:02 pm

SHIRIKI MINADA YA KIDIGITAL ONLINE UKIWA NYUMBANI ,DUKANI,KAZINI SAFARINI AU SEHEMU YOYOTE YENYE MTANDAO.

(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Posted by: @malingumu

Nataka kuhamia kwenye kifurushi kibwa zaidi ya hiki nifanyeje?

Lengo nini utaka ufanyeje?

 

 
Posted : March 20, 2024 2:07 pm
Malingumu
(@malingumu)
Posts: 44
DIG-PESA
 

Nataka kushiri minada yote.

 
Posted : March 20, 2024 2:13 pm
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

@malingumu OK sawa lipia 50,000 Kisha nitakuunganisha na kifurushi kipya chenye uwezo zaidi.

 
Posted : March 20, 2024 2:15 pm
Sakayonsa reacted
Malingumu
(@malingumu)
Posts: 44
DIG-PESA
 

@admin Sawa nikilipia nitakuambia.

 
Posted : March 20, 2024 2:23 pm
(@senforoza)
Posts: 26
DIG-PESA
 

Nimenunua Laptop 💻 vipi itafika lini?

 
Posted : March 20, 2024 2:26 pm

(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

@senforoza Tayari umelipia?

 
Posted : March 20, 2024 2:28 pm
(@senforoza)
Posts: 26
DIG-PESA
 

@admin Bado sijalipia sijapewa maelekezo yoyote.

 
Posted : March 20, 2024 2:30 pm
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

@senforoza sawa nenda comment chini ya hiyo thread Kisha tag admin nitakuja hapo.

 
Posted : March 20, 2024 2:32 pm
(@senforoza)
Posts: 26
DIG-PESA
 

Tag ni kufanya je?

 
Posted : March 20, 2024 2:33 pm
(@senforoza)
Posts: 26
DIG-PESA
 

Na tag vipi naomba unifundishe.

 
Posted : March 20, 2024 2:34 pm

SHINDA 50K KWAKUWA NA POSTS,LIKES PAMOJA NA VIEWS KWENYE CONTENT ZAKO .

Maelezo Zaidi Bonyeza Hapo Chini.

(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Fanya hivi @admin hapo umenitagi nitaona.

 
Posted : March 20, 2024 2:36 pm
(@senforoza)
Posts: 26
DIG-PESA
 

Ok sawa!

 
Posted : March 20, 2024 2:36 pm
(@senforoza)
Posts: 26
DIG-PESA
 

👍 

 
Posted : March 20, 2024 2:39 pm
Justin Omundi
(@justin-omundi)
Posts: 22
DIG-PESA
 

Nataka ku up grade kwenye kifurushi cha Kutoa huduma naongeza ngapi?

 
Posted : March 20, 2024 2:41 pm
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

@justin-omundi  bei ya kufuru ni 300,000 toa 50,000 utalipa 250,000.

 
Posted : March 20, 2024 2:45 pm

JIPATIE SIMU MZURI ORIGINAL KWA BEI YA RAHISI SANA.

Pata Simu Bei Rahisi Kutoka Japan,Kwamuda wa Week Moja Tu.

Justin Omundi
(@justin-omundi)
Posts: 22
DIG-PESA
 

@admin Hiki kifurushi mbona kwenye list ya vifurushi hakuna?

 

nimekitafuta sana sijaona naomba unitimie link nikipitie nione kimebeba nini nani?

 
Posted : March 20, 2024 2:47 pm
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Posted by: @justin-omundi

@admin Hiki kifurushi mbona kwenye list ya vifurushi hakuna?

 

nimekitafuta sana sijaona naomba unitimie link nikipitie nione kimebeba nini nani?

Kitatoka kwenye next update nitaku tag.

 

 
Posted : March 20, 2024 2:51 pm
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Asante sana kwa kushiriki kuliza maswali na kujiunga na vifurushi.

 
Posted : March 20, 2024 3:16 pm
EmmyName reacted
 Sus
(@sus)
Posts: 5
Balance 0.000
 

Habari 

 
Posted : March 20, 2024 5:28 pm
EmmyName reacted
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 450
 

Nomba

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

 
Posted : March 23, 2024 4:54 am

TANGAZA BIASHARA YAKO BURE UPATA VIERS 10K KWA WEEK .

Leta Biashara Yako Tukutangazie Bure.

Tuambie Unauza Biashara Gani Au Unatoa Huduma Gani na Unapatikana sehem Gani.

Baada ya Kujisaji Fungua Page Kisha comment hapo chini .

(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Hii ni Habari njema kwa wateja wetu wote popote mlipo,Tumewaletea kifushi kibwa kupita vyote kitakuwezesha kufanya mambo yafuatayo.

1.kitakuwezesha kuuza bidhaa kwenye minda kwa bei ya Jumla na rejareja ndani na nje ya Nchi bila kikomo.

2.Nikizuri kwa wafanya biashara  wanafanya biashara za,

A.Bishara zote za Magari Makubwa na Madogo.

B.Wafanya biashara wanahitaji kununua bidhaa za jumla zenye dhamini kubwa kama Spare za Magari na bidhaa nyingi za dhamani kubwa.

C.Wakandalasi wa majengo Barabara nk watanufaika na kifurushi hiki.

D.wamiliki wa Shule pia watenufaika na kigurudhi hili,watanunua na kuagiza Magari kwanjia ya mnada kwajiki ya matumizi ya Shule.

 

 

 

 

 
Posted : March 23, 2024 5:52 pm
(@karanga)
Posts: 22
Deposit 50,000
 

Sijaelewa vuzuri kuhusu  hiki kifurushi nfano nahitaji bidhaa kutoka kwenu nikiwa hichi kifurushi nitaingia kwenye minada nitanunua kisha mtanisafirishia na kunikabidhi hata kama mzigo wa milioni 500?

 
Posted : March 23, 2024 6:13 pm
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

@karanga  Hapana kazi ya hiki kifurushi ni kwenye minada tu kwenye platform zingine kama kuagia sio lazima uwe na kifurushi chochote.

Hiki kifurushi kinakuzesha kununua bidhaa ya dhamani yoyote kwenye minada tu,nfano kuna wauzaji kwenye minada wanaweka bidhaa za bei kubwa kwa muda wa saa moja mnada unatakiwa uishe kama unakufurushi hiki unaweza kununua vitu vyenye dhamani kubwa kisha unalipia baada ya mnada kuisha.

 

 

 
Posted : March 23, 2024 6:21 pm
(@kabandwa)
Posts: 37
Balance 0.000
 

Hapa boss mbona pamekua pagumu kila siku vifurushi vipya sisi tusiokuwa na uwezo wa kunua vifurushi tuondoke?

 
Posted : March 23, 2024 6:53 pm
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

@kabandwa Kwani huduma gani umeikosa hapa? Kuhudu vifurushi kuanzia kifurushi cha kwanza hadi cha mwisho kwajili ya minada tu.

hata kama ungekuwa wewe utaweza kuendesha minada bila washiriki kuwa na vifurushi kwajili kumlinda muuzaji na uwajibikaji kwa pande zote mbili.

 

Tumia majukwa ya bure kupata huduma,agiza mzigo wako bila kutumia minada  naomba tusipotoshe mambo hapa asilimia 80 ni bure boss wangu jaribu ilizia kitu chochote sehemu yoyote ukishindwa kuingia niambie Niko hapa.

 
Posted : March 23, 2024 7:05 pm
Kabandwa reacted

TANGAZA NA KUUZA BIASHARA ZAKO KWA NJIA YA MNADA WA KIDIGITAL .

Kwa 10,000 Unashiriki Minada Kwamuda wa Mwaka Mzima.

Shiriki Mnada Ujipatie Bidhaa Kwa Bei Nafuu Sana.

(@kabandwa)
Posts: 37
Balance 0.000
 

@admin Sawa lakini kuna kaubaguzi fulani nfano hapa kwenye profile kuna zero balance kwanini umefanya hivyo kwani usiche wazi bila kuandika chochote?

Kuna siku niliagiza MP3 hadi leo sijajibiwa wakati watu wengine wenye Depost wanajibiwa chap kwa haraka hii nayo vipi imekaaje bro.

 

 
Posted : March 23, 2024 7:10 pm
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

@kabandwa Hapana sio ubaguzi bro 😎 ukisgiza bidhaa kama sellers hawana wanapwasa wakujibu kwa hii bidhaa hakuna,lakini swali lako la pili kama umelipia kifurushi bado uko zero balance nikosa naomba muda hadi kesho mapema utapata kifurushi chako.

 
Posted : March 23, 2024 7:18 pm
(@kabandwa)
Posts: 37
Balance 0.000
 

Sawa mkuu.

 
Posted : March 23, 2024 7:24 pm
Kaganda
(@kaganda)
Posts: 49
DIG-PESA
 

Napenda sana kufatilia minada chakushanga nimeondolewa kwenye minada siwezi kushiriki nabaki mtazamaji mbona mzingua?

 
Posted : March 23, 2024 9:15 pm
(@barbershop)
Posts: 15
Balance 0.000
 

Posted by: @kaganda

Napenda sana kufatilia minada chakushanga nimeondolewa kwenye minada siwezi kushiriki nabaki mtazamaji mbona mzingua?

Akikujibu ni tag,watumeodolewa wote wamebaki wakulipia tena bila taarifa.

 

 
Posted : March 23, 2024 9:19 pm

SHIRIKI MINADA YA KIDIGITAL ONLINE UKIWA NYUMBANI ,DUKANI,KAZINI SAFARINI AU SEHEMU YOYOTE YENYE MTANDAO.

(@kidedea)
Posts: 12
Balance 0.000
 

Ushauri wangu kwa admin ikikupendeza tutengenezee kajukwa katu kadogo kamunada kavitu vyenye gharama na fuu kidogo tuzungushe mitaji yetu mdogo ndogo mitaji yetu ikukua basi nasisi tunafanya kweli ushauri ni huu sio kwaubaya wote wapambanaji.

 
Posted : March 23, 2024 9:26 pm
(@jitumirabaminne)
Posts: 8
Service Provider
 

interested.

 
Posted : March 23, 2024 9:29 pm
Mercy Njunwa
(@mercy-njunwa)
Posts: 5
Balance 0.000
 

Niwazo zuri tajiri huna baya,

 
Posted : March 23, 2024 9:32 pm
(@father-house)
Posts: 21
Balance 0.000
 

Upande wangu siwezi kulaumu admin kwasabu kaweka tozo kwenye majukwa machachesana kwenye minada kwingine free,upandewangu siwezi kumlaumu mida kua free pia inakosa maana watu wanafanya fujo sana kwasabu hatuna cha kupoteza nadhani tutumie majukwaa mengine kupata huduma.

 
Posted : March 23, 2024 9:39 pm
Jasusi Mweusi
(@jasusi-mweusi)
Posts: 42
Balance 0.000
 

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 admin piga watu ban wasikuzoee i see angalia koments za kusagiana kungunu tupu,ukicheka na  nyani utavuna mabua.

 
Posted : March 23, 2024 9:45 pm

Zulu
 Zulu
(@zulu)
Posts: 27
Balance 0.000
 

Achane ujinga tutaonekana wote wahuni tutawekwe kapuni kwaushundwa kutumia uhuru viziri hapa kunapindi tuliwekwa kapuni kila kituma ujumbe ukaa week unasikilia Awaiting moderation tutarudi huko.

 
Posted : March 23, 2024 9:52 pm
 Beka
(@beka)
Posts: 17
Balance 0.000
 

😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 ila nyie jamaa akiamka atakuta wateja wakutosha wa kifurushi kimpya.

 
Posted : March 23, 2024 9:58 pm
Dura
 Dura
(@dura)
Posts: 29
Service Provider
 

Ngoja  nikabet zangu alooo kipiga mshinda nitarudi.

 
Posted : March 23, 2024 10:03 pm
Dura
 Dura
(@dura)
Posts: 29
Service Provider
 

Tunaonekana wote waswazi i see 

 
Posted : March 23, 2024 10:08 pm
Zaituni
(@zaituni)
Posts: 21
Karibu! Available 10,000
 

Sasa admin nimemuelewa hizi ni fujo ndio maana tumefungiwa kushiriki midadana jiandaeni kufungiwa kila kona.

 
Posted : March 23, 2024 10:12 pm

SHINDA 50K KWAKUWA NA POSTS,LIKES PAMOJA NA VIEWS KWENYE CONTENT ZAKO .

Maelezo Zaidi Bonyeza Hapo Chini.

(@janeth-zahoro)
Posts: 18
Balance 0.000
 

@zaituni 🤗 🤗 🤗 🤗

 
Posted : March 23, 2024 10:17 pm
(@janeth-zahoro)
Posts: 18
Balance 0.000
 

Hawa jamaa ni wanjanja sana wakiona sehemu inavuja wanamimina zege 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 kunawatu walifikiri huu ni mtandao wa kijamii.

 
Posted : March 23, 2024 10:21 pm
Suzani
(@suzani)
Posts: 18
Balance 0.000
 

Habari za asubuhi hivi nikinunua hiki kifurushi kwa uzoefu wako nutapata bei gani kwamwezi.

 
Posted : March 24, 2024 6:50 am
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

@suzani Unaka unitumie kufanya nini?

 
Posted : March 24, 2024 6:53 am
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Posted by: @zulu

Achane ujinga tutaonekana wote wahuni tutawekwe kapuni kwaushundwa kutumia uhuru viziri hapa kunapindi tuliwekwa kapuni kila kituma ujumbe ukaa week unasikilia Awaiting moderation tutarudi huko.

Hapa ni uhuru kwa kila mtu anahiki ya kuingea sema tatizo hapa sio sehemu yake hii thread inaongelea jambo moja kifurushi kipya

 

 
Posted : March 24, 2024 6:56 am

JIPATIE SIMU MZURI ORIGINAL KWA BEI YA RAHISI SANA.

Pata Simu Bei Rahisi Kutoka Japan,Kwamuda wa Week Moja Tu.

Jemima
(@jemima)
Posts: 29
Deposit 200,000
 

Habari 

 
Posted : April 1, 2024 5:23 pm
EmmyName reacted
Jemima
(@jemima)
Posts: 29
Deposit 200,000
 

Nimelipia naomba kuunganishwa.

 
Posted : April 1, 2024 5:24 pm
EmmyName reacted
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Posted by: @jemima

Habari 

Mzuri

 

 
Posted : April 1, 2024 6:14 pm
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

@jemima Unaungwaje bila kulipia mpendwa?

 
Posted : April 1, 2024 6:15 pm
Jemima
(@jemima)
Posts: 29
Deposit 200,000
 

Tayari nimelipia 

 
Posted : April 1, 2024 6:16 pm
EmmyName reacted

TANGAZA BIASHARA YAKO BURE UPATA VIERS 10K KWA WEEK .

Leta Biashara Yako Tukutangazie Bure.

Tuambie Unauza Biashara Gani Au Unatoa Huduma Gani na Unapatikana sehem Gani.

Baada ya Kujisaji Fungua Page Kisha comment hapo chini .

(@jancrod-hafasha)
Posts: 8
Balance 0.000
 

Jambo papa nije!

 
Posted : April 1, 2024 6:26 pm
EmmyName reacted
(@jancrod-hafasha)
Posts: 8
Balance 0.000
 

Swahili bora sijuage najua swahili ya mwetu mukongo na France kama uko na mutu anajua kusumbulia France itakuwa bueee. 

 
Posted : April 1, 2024 6:28 pm
EmmyName reacted
Moderator
(@moderator)
Posts: 111
Moderator
 

Jinsi ya kulipia huduma mbalimba tunazozitoa.

  • Kulipia vifurushi.
  • Kulipia Matangazo.
  • Kulipa wauza waliko nje ya nchi.

 

Kwanjia ya Simu.

  • Tigo Lipa kwa simu.
  • Lipa Namba 6866794.
  • Jina la mokeaji Digxam Trades.

Kwanjia ya Bank .

  • Bank CRDB .
  • Account no AC  015C598771300.
  • Jina la Account Digxam Trades .

kama unahitaji hudma hii wasiliana na admin,kwa maelezo zaidi au whatspp namba hii +818020717421 au piga +255 712 708245. 

 

Kuchagua Vifurushi bonyeza hapa 

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

 
Posted : April 6, 2024 10:11 am
Jasusi Mweusi
(@jasusi-mweusi)
Posts: 42
Balance 0.000
 

Safi sana ngoja nizichange.

 
Posted : April 6, 2024 4:16 pm
Jasusi Mweusi
(@jasusi-mweusi)
Posts: 42
Balance 0.000
 

Mbona vifurishi bei mbaya hivi?

 
Posted : April 6, 2024 4:17 pm

TANGAZA NA KUUZA BIASHARA ZAKO KWA NJIA YA MNADA WA KIDIGITAL .

Kwa 10,000 Unashiriki Minada Kwamuda wa Mwaka Mzima.

Shiriki Mnada Ujipatie Bidhaa Kwa Bei Nafuu Sana.

Zaituni
(@zaituni)
Posts: 21
Karibu! Available 10,000
 

Leo nimevipitia huu utakuwa mtanda wakwanza kwa vifurushi bei juu sana.

 
Posted : April 6, 2024 4:21 pm
(@cassandra)
Posts: 4
Balance 0.000
 

sawa.

 
Posted : April 7, 2024 8:39 am
(@cassandra)
Posts: 4
Balance 0.000
 

@jancrod-hafasha Karibu France

 
Posted : April 7, 2024 8:40 am
(@brighton)
Posts: 4
Balance 0.000
 

Hiko njema sana.

 
Posted : April 7, 2024 9:30 am
(@brighton)
Posts: 4
Balance 0.000
 

Nataka kuilipi kifurishi mkuu.

 
Posted : April 7, 2024 9:31 am

SHIRIKI MINADA YA KIDIGITAL ONLINE UKIWA NYUMBANI ,DUKANI,KAZINI SAFARINI AU SEHEMU YOYOTE YENYE MTANDAO.

(@brighton)
Posts: 4
Balance 0.000
 

Hiki kifurushi cha unlimited bei gani?

 
Posted : April 7, 2024 9:32 am
EmmyName reacted
(@gladys)
Posts: 5
Balance 0.000
 

Posted by: @brighton

Hiki kifurushi cha unlimited bei gani?

Hata mimi nataka hiki.

 

 
Posted : April 7, 2024 9:54 am
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

@brighton Tsh 500,000

 
Posted : April 7, 2024 12:26 pm
(@gladys)
Posts: 5
Balance 0.000
 

ok

 
Posted : April 7, 2024 12:28 pm
EmmyName reacted
GP Logistics
(@gp-logistics)
Posts: 136
 

Naomba niunge kifurushi cha unlimited tayari nimelipia.

 
Posted : April 7, 2024 2:55 pm
EmmyName reacted

(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

@ubuntuscofield  Asante kwa kujiunga na kifurushi cha Paid Membership   cha mwaka mzima bila kikomo,naomba ujaze form na kujisajili kwenye kumbukumbu za Paid Membership ,kujaza form Fatilia hapo.

 
Posted : April 10, 2024 12:53 pm
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

7.Baada ya Kulipia Membeship yako. 

 

.Jisajili kwenye database  ya Members wote waliolipia kwajili ya kumbuku jinsi ya kujisajili  bonyeza hapa.

1.Jaza Form vizuri,

2. Utapata ujumbe huu Thank you. Your registration is now complete. You can log into the affiliate area and begin promoting.

3.Kisha bonyeza Hapa,

4.Itakuja menu kama ifuatavyo (a)Overview (b)Sales Payment (c)History Creative(d)Edit Profile(e) Log out.

7. Usajili utakuwa umekamilika.

 
Posted : April 10, 2024 1:56 pm
EmmyName reacted
(@ubuntuscofield)
Posts: 50
Available 100,000
 
IMG 20240410 WA00481

 @admin @moderator tayari

 
Posted : April 10, 2024 5:51 pm
EmmyName reacted
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

@ubuntuscofield Asante kwakujiunga na kifurushi cha Paid Membership leo Tarehe 10 Wensaday April kitadumu kwa muda wa mwaka moija bilakikomo.

 
Posted : April 11, 2024 4:53 am
Shalom
(@shalom)
Posts: 39
Available 100,000
 
  1. Habari @admin nimetuma maombi ya manunuzi ya bidhaa chakushangaza tangu last week sijajibiwa Topcs zikokwenye waiting for moduration nani kwanini?
 
Posted : April 18, 2024 7:39 am
EmmyName reacted

SHINDA 50K KWAKUWA NA POSTS,LIKES PAMOJA NA VIEWS KWENYE CONTENT ZAKO .

Maelezo Zaidi Bonyeza Hapo Chini.

(@obote)
Posts: 1
Balance 0.000
 

Naomba kuungwa na huduma ya Paid membership au Trusted Membership bure.

 
Posted : April 22, 2024 12:32 am
Moderator
(@moderator)
Posts: 111
Moderator
 

Posted by: @obote

Naomba kuungwa na huduma ya Paid membership au Trusted Membership bure.

Hii ilitoka andani ya 24 hrs umechelewa.

 

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

 
Posted : April 22, 2024 3:53 am
(@raviva)
Posts: 3
Deposit 50,000
 

Dixam

 
Posted : June 15, 2024 5:54 pm
(@rahaa)
Posts: 2
Deposit 50,000
 

Digxam

 
Posted : June 15, 2024 6:04 pm
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

@rahaa Umepa ofa ya kifurushi cha Basic Membership bure baada ya kufata maekezo ulipewa kwenye page yetu ya Facebook,kifurushi kiko sawa na vifurushi vyote vyenye thamani ya 50,000.Karibu endelea kushare na kutembela page zetu   kwenye mitando ya kijamii ujipatie  ofa na zawadi mbalimbali.

 
Posted : June 15, 2024 8:48 pm

JIPATIE SIMU MZURI ORIGINAL KWA BEI YA RAHISI SANA.

Pata Simu Bei Rahisi Kutoka Japan,Kwamuda wa Week Moja Tu.

(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Posted by: @rahaa

Digxam

Umepa ofa ya kifurushi cha Basic Membership bure baada ya kufata maekezo ulipewa kwenye page yetu ya Facebook,kifurushi kiko sawa na vifurushi vyote vyenye thamani ya 50,000.Karibu endelea kushare na kutembela page zetu   kwenye mitando ya kijamii ujipatie  ofa na zawadi mbalimbali.

 

 
Posted : June 15, 2024 8:51 pm
(@maggy)
Posts: 2
Balance 0.000
 
  • Asante kwa ofa
 
Posted : July 10, 2024 4:59 am
EmmyName and Digxam reacted
Digxam
(@digxam)
Posts: 56
Admin
 

@maggy Karibu Sana.

 
Posted : July 10, 2024 5:06 am
(@marioh)
Posts: 8
Deposit 200,000
 

Naomba niunge kufurushi cha 200k please .

 
Posted : August 29, 2024 4:13 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
 

Posted by: @marioh

Naomba niunge kufurushi cha 200k please .

Asante kwakujiinga na kifurushi cha Trusted cha mwaka, Tayari umeisha unganishawa.

 

 
Posted : August 29, 2024 4:16 pm

TANGAZA BIASHARA YAKO BURE UPATA VIERS 10K KWA WEEK .

Leta Biashara Yako Tukutangazie Bure.

Tuambie Unauza Biashara Gani Au Unatoa Huduma Gani na Unapatikana sehem Gani.

Baada ya Kujisaji Fungua Page Kisha comment hapo chini .

(@marioh)
Posts: 8
Deposit 200,000
 

@veronica-victor Balance tayari naona lakini siwezi kuingia kwenye chumba cha minanada na kushiriki

 
Posted : August 29, 2024 4:24 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
 

@marioh Tayari Angalia.

 
Posted : August 29, 2024 4:25 pm
Ngaliba
(@ngaliba)
Posts: 39
Available 100,000
 

Tangu jana nimemtumia admin kwenye namba ya whatspp ya Japan lakini bado sijaona nikunganisha na kifurushi changu shidana nini?

image
 
Posted : September 29, 2024 4:48 am
Moderator
(@moderator)
Posts: 111
Moderator
 

@ngaliba Pole Tayari umeunganishwa.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

 
Posted : September 29, 2024 4:58 am
(@emmyname)
Posts: 35
Balance 0.000
 

@admin Najipa nikucheki niwaungishe

 
Posted : October 26, 2024 1:46 pm

TANGAZA NA KUUZA BIASHARA ZAKO KWA NJIA YA MNADA WA KIDIGITAL .

Kwa 10,000 Unashiriki Minada Kwamuda wa Mwaka Mzima.

Shiriki Mnada Ujipatie Bidhaa Kwa Bei Nafuu Sana.

(@emmyname)
Posts: 35
Balance 0.000
 

Nimefurahi sana kuona Watanzania kisonga mbele kidigital.

 
Posted : October 26, 2024 1:52 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
 

@moderator Kama kuna mtu anaswali uliza.

 
Posted : October 27, 2024 12:46 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
 

@jasusi-mweusi Karibu sana.

 
Posted : October 27, 2024 12:47 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
 

@jasusi-mweusi Bei ni zilezile mbona.

 
Posted : October 27, 2024 12:48 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
 

@zaituni Sio kweli ukilinganisha na mtandao gani boss?

 
Posted : October 27, 2024 12:49 pm

SHIRIKI MINADA YA KIDIGITAL ONLINE UKIWA NYUMBANI ,DUKANI,KAZINI SAFARINI AU SEHEMU YOYOTE YENYE MTANDAO.

Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
 

@cassandra Karibu sana.

 
Posted : October 27, 2024 12:49 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
 

@brighton Karibu sana.

 
Posted : October 27, 2024 12:50 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
 

@brighton Umekwama wapi?

 
Posted : October 27, 2024 12:50 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
 

@admin Tunapokea maswali kupitia hapa kwenye comments section,uliza swali.

 
Posted : October 27, 2024 1:03 pm
Admin
(@admin)
Posts: 6
Admin
 

@Anonymous-1Hii ni account ya admin ilifutika kwa bahati mbaya nakujiandika Anonymous-1 naomba tuichukulie hiyvo,lakini posts zake zote zipo zitaendele kusomeka hivyo,jumla tuko admins watatu.

@admin

@Veronica-Victor

@digxam

 

 
Posted : March 5, 2025 3:05 pm

AKAMBA
(@stomatolog_xwsn)
Posts: 18
Available 100,000
 

Tayari nimelipia,naomba niunganishwe kwenye minada.

 
Posted : March 10, 2025 9:03 pm
(@matha)
Posts: 2
Customer Available 10,000
 

10,000

 
Posted : March 12, 2025 8:57 pm
(@zaitun)
Posts: 11
Customer Available 10,000
 

10,000

 
Posted : March 13, 2025 4:33 am
MKULIMA
(@mkulima)
Posts: 4
Customer Available 10,000
 

10,000

 
Posted : March 13, 2025 5:55 am
Sakayonsa
(@sakayonsa)
Posts: 4
Customer Available 10,000
 

10,000

 
Posted : March 13, 2025 9:15 pm

SHINDA 50K KWAKUWA NA POSTS,LIKES PAMOJA NA VIEWS KWENYE CONTENT ZAKO .

Maelezo Zaidi Bonyeza Hapo Chini.

Paulo Aman
(@paulo-aman)
Posts: 49
DIG-PESA
 

10,000

 
Posted : March 16, 2025 8:35 am
(@utamaduni)
Posts: 3
Balance 0.000
 

Sijaelewa kitu kabisa.

 
Posted : March 21, 2025 7:39 am
Admin
(@admin)
Posts: 6
Admin
 

@utamaduni Huajaelewa wapi nikueleweshe?

 
Posted : March 21, 2025 7:46 am


Digxam

FREE
VIEW