Habari wapendawa!
Majina na Peruth Aman, tunatafuta wateja wakufanya nao kazi popote pale ulipo.Kama una mzigo wakutoa bandari kama container Gari au mitambo naomba tuwasiliane.
Pia tunatoa huduma za transit kama una mzigo unatoka nje unapita kwenye bandari au kwenye mipaka ya Tanzania hizo kazi tunafanya.
Kama uko nchi jirani kama Congo,Rwanda,Burudi,Zambia,Zimbabwe,Malawi,Mozambiq,Angola,nk nitumie document za mzigo original nitakupa gharama ya kutoa mzigo pamoja na usafiri.
Kama umeagiza Gari lako baada ya kufika ukajikuta huna pesa ya kuitoa bandarini nitakusaidia kuito kwa ghamara zangu kisha utanirudisha pesa yangu.
Kama uko mkoani unahitaji huduma ya kutoa mzigo bandari au unahitaji dereva wakusafiri hilo Gari au unahita Truck ya kubeba mzigo naomba uwasiliane na mimi.
Karibu wote.
Vanguard kutoa Bandari bei gani?
Inategemea na Mwaka pia na ukubwa wa Engine,kama una model code naomba unitumie.
Hii model code inakaa wapi?
Kila Gari lina Medel code yake,nfano hizi hapo chini ni baadhi ya model code za Toyota Vanguard.
ACA33W
ACA38W
Zinaptikana kwenye Auction sheet au kwenye Bl.
Kumbe sawa ngoja nakutafutia hizi code.
Hapa nimejifunza kitu hivi naweza kuagiza mzigo au Gari Japan nikamtafuta mtu anitolee bandari au kwamaana nyingine sio lazima mtu alieniuzia Gari alitoe yeye bandarini?