Notifications
Clear all

MADA Changamoto za Toyota Vanguard ni zipi.Kabla ujanunua Vanguard Toyota pitia hii thread .

14 Posts
6 Users
2 Reactions
136 Views
Sniper
(@sniper)
Posts: 71
Deposit 50,000
Topic starter
 

Niingie kwenye Mada moja kwa moja,kama unamiliki Toyota Vanguard naomba uzoefu wako.

Hili  Gari linapendwa sana na watu wengi hapa Tz  sio mbaya tukapenda uzoefu kidogo.

 

image
 
Posted : February 15, 2025 1:08 pm
Luth Lema
(@luth-lema)
Posts: 11
0.000
 

Hii mada ni mzuri sana itasaidia watu wengi.

 
Posted : February 16, 2025 5:46 am
Fundi Magari
(@fundi-magari)
Posts: 11
Service Provider
 

Nimejaribu kuangalia majukwaa mbalimbali ambako wamejadili changamo za Toyata Vanguard sijaona sehemu hata moja wamejadili matatizo ya kimfumo zaidi ya kujadili kwa hisia na kutafuta follows na baadhi ya majukwaa wanajadili kwalengo la kutafuta wateja wa magari kupitia kwenye hii majadala lakini sio lengo la kuhabarisha watu kuhusu changamoto za haya magari .

Wamiliki wengi sio wataalam wa mambo ya Magari ukitafuta taarifa kama hizi technically watu wenye taarifa hizi  sahihi ni Mafundi Magari na baadhi ya wauzaji wa Magari. 

Ukweli ni kwamba hili Gari ni zuri kama yalivyo magari mengine kasoro yake lina tatizo momoja kubwa kwenye nfumo  Steering System.Kwenye mfumo wa steering kuna kifaa kinaitwa steering reck hiki kifaa ni ugonjwa mkubwa sana kwenye hili Gari.

Dalili zake ni zipi: Ukiagiza Toyota Vanguard likafika nchini jambo la kwanza hakikisha unatafuta na kupita kwenye  barabara mbovu yenye mashimo, ukisikia linagonga usiangaike kutafuta ungonjwa mwambie moja kwa moja fundi afungue steering reck,baada ya kuifungua hiyo reck kuna bush mbili ziko ndani ya steering reck utakuta zinacheza mwambie fundi aipeleke waiwekee bush,kisha funga, tatizo litapona japokua baada ya miaka linaweza kuibuka tena.

Bei ya steering reck :

  • Toyota wanauza 2M za kitanzania.
  • Ilala used parts wanuza 1,m.
  • Umpya dukani ya kichina 1.m.
  • Kuagiza Japan ni 1.m. 

Hapo utachagua mwenye kipi rahisi kwako japakuwa unaweza kununua reck ilala bado ukapata changamoto hiyo hiyo kwakifu reck used siwezi kumshauri mtu.

1.Fanya utafiti wako binafsi.

2.Kama uko vizuri nenda Toyota kanunue mpya funga utakuwa umemaliza tatizo.

3.Kama hauko vizuri kiuchumia agiza japan vumilia kama mwezi moja kwasabu hii steering reck sio kwamba steering inakuwa haifanyi kazi bali ugonga sana mbele ukipita kwenye barabara mbovu.

Ukitaka steering reck mpya genuine Japan kwa bei ya 1,m mcheki member hapa mtu  moja anaitwa @jonson-john utapata  kwa nusu bei ya Toyota.

 
Posted : February 16, 2025 7:00 am
Sniper
(@sniper)
Posts: 71
Deposit 50,000
Topic starter
 

@fundi-magari umechangia vizuri kasoro picha tuone hako ka kifaa umekataja.

 
Posted : February 16, 2025 7:45 am
(@peruth)
Posts: 3
0.000
 

Hili Tatizo limenisumbua nimetoa  zaidi ya 5ml bado gari halijapona nimeamua kuachana nano,Gari lina Gongo vile vile unavyo eleza kwa mbele ukipita kwenye barabara ya vumbi,hapa Nzega kuna mafundi wengi ni mapeli sana hasa wakiona mwanamke.

 
Posted : February 16, 2025 7:57 am
Fundi Magari
(@fundi-magari)
Posts: 11
Service Provider
 

Hii ndio changamoto ya Toyota Vanguard.

 
Posted : February 16, 2025 8:12 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Fundi Magari
(@fundi-magari)
Posts: 11
Service Provider
 

Hii hapa picha ya Reck hand

142421F2 E773 484B A3A5 4722BD36E3C4
370F6D38 6505 483B A806 B93322B47A8B

 

 
Posted : February 16, 2025 8:25 am
Fundi Magari
(@fundi-magari)
Posts: 11
Service Provider
 

Hakikisha unatumia oil ya Castrol namba 20-50 kwa Engine zote za Vanguard.

27DD7128 C957 457A B6EC DE02A99718D0

 

 
Posted : February 16, 2025 10:32 am
Sniper reacted
Sniper
(@sniper)
Posts: 71
Deposit 50,000
Topic starter
 

@fundi-magari Hizi Gari zinatumia Engine gani?

 
Posted : February 16, 2025 10:46 am
Fundi Magari
(@fundi-magari)
Posts: 11
Service Provider
 

@sniper 1AZ na 2AZ hizi Engine ziko delicate ukifanya mchezo kwenye service zinakufa haraka sana.

Zinatumia timing chain.Nikipata muda nitaelezea kwanini utumie oil ya casto namba 20-50

FFBC4061 F185 483B A5DE A20D56066E52
 
Posted : February 16, 2025 10:52 am
Peruth reacted
(@peruth)
Posts: 3
0.000
 

@fundi-magari Asante!

 
Posted : February 16, 2025 6:41 pm
Sniper
(@sniper)
Posts: 71
Deposit 50,000
Topic starter
 

@fundi-magari Mkuu naomba unendele kutupa madi usichoke, bay the way hii profile pc iko vizuri sana kama nakuona i see 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 .

 
Posted : February 16, 2025 6:46 pm

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week. More Info.

Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 433
Seller
 

Tuko makini sana kwenye tutekeleza majukumu yetu,siwezi kukua Gari lenyechangamoto kama hizi sidhana kama itaoke.Kwa upande wa spare tunapokea order kama unahita spare tuwasiliane.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

 
Posted : February 17, 2025 4:27 am
Ngaliba
(@ngaliba)
Posts: 38
Deposit 100,000
 

Kazi mzuri.

 
Posted : February 17, 2025 4:34 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week. More Info.


Digxam

FREE
VIEW