Kama wewe ni mteja wangu wa spare za used kwa bei ya jumla comment chini nikupe zawadi ya bure ya masega,natoa zawadi bure kwa watu wangu wanunuzi wa spare za jumla kwetu.Mzigo utaondoka Japan mwisho wa mwezi huu,wahi mapema uvichukue bure.
Kuhusu wizi wa Masega huko bongo.
,Magari mengi yamenyofolewa Masega ,Gari likipigwa masage linawaka mlio mbaya pia linabugia mafuta hatari sana ,kuna wamiliki wengi wa Magari hapo bongo wanatumia Magari bila masega wanajikuta wanatumia mafuta mengi kwenye mizunguko yao bila sababu,
Hii michezo inafanywa na baadhi ya mafundi Garage na baadhi ya madali wa Magari wasio waaminifu,utafiti bado aijulikani haya masega wanayafanyia kitu gani hadi kuwa na demand kubwa kiasi hiki.
Tunampango wakufunga mashine za kupima masega kufanyawepesi kwa wamiliki wa Magari ya Petrol kungundua kama Magari yao yameibiwa masega.
Natao wito kwa wamiliki wote wa Magri ya Petrol,
Masega ya napigwaje?
Zoezi la wizi wa masege linachukua zaidi ya dk 30 hado lisaa inategema na aina ya Gari na ukubwa wa kibuyu ,hicho kibuyu uchanwa na Gesi au Grander kisha wanatoa chekecheo zinazofanana na masega ya asali,baada ya kuchukua masega kisha uchukuwa vitu vigumu kama nyaya au vitu vigumu kuungua na moto wa Exhaust, urudishia vizuri kibuyu na kukichoma upya,baada ya muda Gari uanza kutoa mungurumo tofauti kama vile Exhaust imekatika, ningumu kuhisi kama Gari lako limepigwa tukio la masega kwasabu uchukua muda mrefu kubadili mlio.
Sio kila Gari la Petrol lina Masege kuna baadhi ya Magari na baadhi ya Makampuni utumia mifumo tofauti,huu nfumo wa masege ni kwa magari yote ya Petrol ya Japan na baadhi ya magari japo sio yote.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@jonson-john Kwakuwa nampango waku uza spare used za Magari,naomba zawadi hii nipewe mimi.
Bro mimi naomba uniuzie kibuyu kimoko .Gari langu limeibiwa kibuyu cha masege nikaenda kununua kipya dukani lakini bado mlio na ulaji wa mafuta tatizo liko palepale,naomba uniuzi kimoja original nitashukuru sana 🫶🫶🫶
Nimekuumia ujumbe kwenye whatspp yako naomba nijibu.
Hapo kwenye vibuyu umepiga kwenye mshono bro fanya utusaidi hili ni janga la kitaifa.
Mimi Gari langu limelambwa masega lakini pia Gari la shemeji yangu pia limepigwa Masega.
Kavipi tafuta container la masega hapo Japan watangazie watu wote wanahitaji masega kwajili ya Magari yao tutanunua kaka.
Bongo hadi magari ya wanajeshi na askari yanapigwa masega.
Ila bongo kuna mambo ya kiwaki sana.
Hivi wakiyaiba wanayapeleka wapi?
Nasikia wanayatengeneza visungura.Ila bongo kuna mambo ya kiwaki sana.
Hivi wakiyaiba wanayapeleka wapi?
@mama-sadiki Haya masega bongo yamekuwa kama Albino,nikinunua Gari likifika bongo kazi ya kwanza kuyafungua na kuyaficha chumbani
Kwanini Makampuni ya Magari yasibadilishe nfumo wakaachana na Masega?
Ngoja nikaangalie Gari langu kama yamo au wameyagema.
Hii ni fursa nataka nianzishe kampuni ya kufunga masega kabla ya kuibiwa na ku-track Masema baada ya kuibiwa.
Kuna siku niliuliza mafundi mbona ka mulio kamebadilika huko nyuma kwenye Exhaust, nikaambiwa feni hiyo bosi duh sikujali sana Kumbe mambo ni fire 🔥 hivi.
Mbona mnaolalamika ni wengi hivi mnataka tuamini kwamba wote mna Magar huku ndani?
Ngoja ni kahakiki simu yangu kama yamo maana Juzi nilipeleka kwa fundi.
Kuna mtu tumeruka wote kwenye Daladala tunagombania site naona comment yake hapo juu 👆🏿anadai Gari lake kalipaki kwasabu umeme umekwama kutoka kwenye insurance kwenye but kwasabu ya kutolewa masagega😂😂😂😂
Mimi kila nimkabidhi fundi Gari na muonyesha picha.