Notifications
Clear all

AGIZA KIOO UNASHIDA NA KIOO CHA SIMU GANI?

6 Posts
3 Users
1 Reactions
970 Views
Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
Posts: 136
100M Trade Bond
Topic starter
 
image
image
image
image

 

 

Napokea order ya Vioo vya simu aina zote popote ulipo kioo kitakufika popote ulipo,kuweka oda ya kioo chako fanya mambo ya yafuatayo.

  • Taja model ya simu.
  • Tuambia sehemu ulipo.
  • Lipia kifurushi cha membership. 

 

 

 


 
Posted : January 2, 2025 5:24 am
Bahati reacted
Bahati
(@bahati)
Posts: 9
30K Pay Cash
 

@ally-kanagawa Nashida na kioo cha iphone 7 kavu cha mtumba.


 
Posted : January 23, 2025 2:03 pm
Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
Posts: 136
100M Trade Bond
Topic starter
 
kio iphone 72
kioo iphone 7

Vioo vipo original. Unata cheusi au cheupe? 

  1. Cheupe nauza 40,000.
  2. Cheusi nauza 50,000.
  3. Ukitaka simu iPhone 7 GB 60 300,000.
  4. Ukitaka iPhone 7  GB 120 380,000.
  5. Simu ni used Japan, kama mpya.

 
Posted : January 23, 2025 2:26 pm
Bahati
(@bahati)
Posts: 9
30K Pay Cash
 

@ally-kanagawa Bei zako ziko juu.Punguza bei nikupe pesa mkurugenzi.


 
Posted : January 23, 2025 2:32 pm
Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
Posts: 136
100M Trade Bond
Topic starter
 

@bahati Labada kama unataka kioo zaidi ya kimoja, nitakuuzia kwa bei ya jumla.🏇🏇🏇🏇🏇🇰🇪🇹🇿🇨🇩🇯🇵

 

iphone kioo

 
Posted : January 23, 2025 2:48 pm

Isaya
(@isaya)
Posts: 2
0.000 Pay Cash
 

Kioo cha windows bei gani?


 
Posted : February 15, 2025 9:55 am