NAHITAJI ENGINE YA YAMAHAA HONDA AU KAWASAKI KWAJILI YA BOAT NA UVUVU YA MTUMBA.KAMA UNAYO NAOMBA PICHA NA BEI PAMOJA NA JISI YA KUKUPATA ULIPO.
Ukubwa gani mkuu tuingie mzigoni?
Huu mzigo upo Dar tayari nakupa namba ya mtu mcheki.NAHITAJI ENGINE YA YAMAHAA HONDA AU KAWASAKI KWAJILI YA BOAT NA UVUVU YA MTUMBA.KAMA UNAYO NAOMBA PICHA NA BEI PAMOJA NA JISI YA KUKUPATA ULIPO.
Β
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ