Tuamba bei ya Boat kuanzia grahama za manunu usafiri pamoja na ushuru kwa Zanzibar @Kitengo cha Forodha @Kitengo cha Usafirishaji @Moderator @admin Β
Weka hata balance kidogo utashawi tujue kuwa uko serious tumechoka na maneno matupu.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Mkuu itafute kwanza nitumie picha nitumie bei kisha nitumie invoice nikulipe usafirishe mzigo.
@kambanza Sawa,ngoja nakufanyia kazi yako,week hii naimaliza, kuna sehemu kuna boat wanauza japokua ni mbali na hapa lakiniΒ nitajitahidi ndani ya week nitakupa majibu.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Sawa nitakukumbusha.
Habari mkuu vipi umepa mzigo au bado?
Hii bado sijapa.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ