Natafuta Nguo za batiki na vitenge vilivyoshonwa kwa mkono yaani made in kwamkono kama unazo naomba picha na bei zake chap kwa haraka.
Pia kama ukawa na Nguo kama hizi za kike sio mbaya unaweza kuweka nikachagua.
Vipi umepata?