Kama wewe ni mshabikia au mpenzi wa mpira naomba comment chini, tunajamboleletu kuanzia week ijayo.
Kesho kote! La mgambol likilia jua kunajambo.
@sniper Duh wewe mshabiki wa timu gani usielala usiku huu?
Mimi ni bingwa wa kubeti.
Nikakale wapi mimi ni home less 🤭🤭🤭🤭🤸♂️
Nabeti online nitalalaje sasa?
Utajua mwenyewe.