Route mpya ya Dar Es Salaam to Johannesburg kwa AirTanzania ni msaada kwa watu wengi,nasikia bei zake ni nafuu sana ukilinganisha na South Africa Airline. Kama kuna mtu kasafiri kwenye hii route ya kutoja Johannesburg to Dar naomba kujua gharama zake ziko,pia namba za wafanyakazi waliko pale Johannesburg wanaokatisha tiketi sio mbaya kuwa nazo.
Bei inategemea na tarehe ya kusafiri pia na Kipindi gani.Kuna muda kama mwezi 12 bei za usafiri wa anga na nchi kavu upanda kutokana na idadi kubwa ya wasafiri.
Bei ni rahisi sana i see angalia madaraja hapo chini.
@tatu Ukipanda basi umetaka mwenyewe kwasababu ghrama ya basi na hii Twiga basic ziko sawa,njia ya basi ya barabara jau sana ni ndefu sana pia usumbufu kibao mipakani usipokuwa maikini unaweza kibiwa vitu vyako kwenye ukaguzi.
Nipenda Juzi kutoka Dar Johanessburge bei zakawaoda sana pia huduma zao mzuri sana.