Habari Wapendwa
Kama unahitaji Ku print Stickers kwajili ya Office yako,Nyumbani au kwenye Gari lako naomba unipatie kazi.
Niko Dar lakini hata kama uko mkoa naomba kazi.Nitumie picha na maandishi pamoja na size ya bango.bei itategemea na ukubwa wa kazi.
Karibuni wot
e
@kanu Mfano mimi niko huku ingunga nikutumia hela usipo nitumia itakuwaje nitamudai nani?
Hata mimi najiuliza swali kama hili.nashida hii huduma.
Hawa watoa huduma muda mwingine wanazingua risk ni kubwa sana unamtu kaweka picha moja hivi ukiingalia una conclude kwamba nitapoteza 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭
Habari za Asubuhi!
Nashukurusa sana comments zenu hapa japokuwa mnajaji mtu kwasabu ya jina au picha mnaona siosawa kumpa kazi atakimbia na hela yako?
Niwatoe wasiwasi hakuna mtu wa kukimbia na hela za watu hapa jukwaani hapa sio fb na x iko hivi,japokuwa napatashaka kwamba wabongo sio watu wakusama policy na miongozo kabla ya kufanya jambo lolote,ukisoma miongozo ya hili jukwaa kabla ya kujiungu kuna Kipengele cha kanuni kinasema hivi:-
Sio lazima mtumiaji wa platform hii kutumia jina lake la ukweli anawe kutumia jina lolote pia kuna kipengele kinasema sio lazima kutumia picha yako ya ukweli kipengele hiko kinaendelea kusema kwamba watumiaji wote watumiaji platform hii bila kulazimishwa ainaga ya picha au jina la mtumiaji except admin pekee ndio mwenye mamlaka ya kujua majina ya mtumia pengine na picha yake kama kuna sababu ya kupata taarifa hizo.
Kanuni zinaendele kusema kwamba feature ya DIG-PAY itasimamia uaslama wa miamala kwa wauzaji na uasalama wa mizigo kwa wa nunuzi nadhani hapa ndio kuna shida ya kutokuelewa tofauti ya hii platform na fb.
The money have been reserved from the buyer’s Digxam wallet, so that if the seller runs away with your money and doesn’t send the items, the Digxam’ support team can release the money for you from the Dig-Pay wallet.
Au mimi sielewi kizungu hapo juu?
Kama kuna mfumo huu wa kulinda pande zote kati ya mnunuzi na muuzaji ndugu zangu mnaogopa nini kunipa kazi,hii maana yake nini?
Tukishakubalina bei ya kazi unatweka hela kwenye Dig-Pay kile kiasi ambacho tumekubaliana mimi nakutumia mzigo wako ukipokea mzigo wako ukaangalia uko sawa push button ya pay unalipa hela yangu sasa kwa mazigira haya picha ngu unaitaka ya nini?
Tafri yake nini hapo?
Hapa mnabishania nini?
The money have been reserved from the buyer’s Digxam wallet, so that if the seller runs away with your money and doesn’t send the items, the Digxam’ support team can release the money for you from the Dig-Pay wallet.
Hii kusema ukweli nikuwa sijui kama kuna kitu kama hiko.The money have been reserved from the buyer’s Digxam wallet, so that if the seller runs away with your money and doesn’t send the items, the Digxam’ support team can release the money for you from the Dig-Pay wallet.
Hapa nimeisha elewa muhimu ni namba aweke namba yenye whatspp hapa tuchati nae kupitia kwenye hiyo namba ila malipo tulipa kwa DIg-Pay.
Makubaliano yote tuyatunze kwenye whatspp namba atakayoweka hapo ikitoka mambo yakaenda ndivyo sivyo basi tutakuwa na ushahidi wa kumuonyesha admin atarudishie pesa zetu.
@omega Kwa mahita ya huduma za 3D Designing, Graphics ,Printing nicheki kwenye namba hii 0685 723613