Hii nayo ina Trend kinyama mtandaoni.
@felix-mtonga Waingera hapa wameupiga mwingi hadi unamwagika.
Hili ni Gari bora 2025 nimelipitisha bila ubishi.
Bongo na sisi tutengeze brand yetu sijui tunakwama wapi?
Hili Gari linauzwa bei gani?
Hii sio poa I see 🥱🥱🫢🫢🫢💯🙅♂️🏇🏇🤸♂️🤸♂️🤸♂️
Maelezo Zaidi Bonyeza Hapo Chini.
Bonyeza Hapa !
Posted by: @africa-music ↑Hili Gari linauzwa bei gani?