KAMA UKONA BAJAJI YA MIGUU MITATU NITUMIE PICHA NA BAI TUFANYE BIASHARA.
Kaka kuna mtu ana hutaki Bajaji ya TVS naomba wasiliana na mimi.
Ukipata mteja nakupa chajuu kama zawaidi baada ya biashara kumalizika.
Nakushauri ufungue thread ya hii bajaji hapo juu utauza.