Notifications
Clear all

MASIKITIKO Utawala wa Rais Donald Trump Umeamua Kusitisha Usambazaji wa Dawa Muhimu

3 Posts
2 Users
2 Reactions
222 Views
King
 King
(@king)
Posts: 10
0.000 Pay Cash
Topic starter
 

Utawala wa Rais Donald Trump umeamua kusitisha usambazaji wa dawa muhimu za kuokoa maisha kwa magonjwa ya VVU, malaria, na kifua kikuu, pamoja na vifaa vya matibabu kwa watoto wachanga, katika nchi zinazosaidiwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID).

Hatua hiyo ni sehemu ya kusimamisha kwa muda msaada wa Marekani duniani kote ili kupitia upya programu hizo. Taarifa hiyo imetolewa kwa wakandarasi na washirika wanaofanya kazi na USAID, ikiwa ni pamoja na kampuni ya Chemonics, ambayo inashirikiana na USAID kusambaza dawa hizo muhimu duniani kote.


 
Posted : January 29, 2025 6:59 am
King
 King
(@king)
Posts: 10
0.000 Pay Cash
Topic starter
 

Sasa mbona kama anakomoa yule mwamba simkubali kwanza mambo yake  yake ipo tofauti na binadamu wengine


 
Posted : January 29, 2025 7:03 am
Mshangazi Nangai
(@mshangazi-nangai)
Posts: 6
0.000 Pay Cash
 

@king Hii ni Hatari na nusu.


 
Posted : January 29, 2025 7:20 am