Zaidi ya Wanigeria 3,690 wako hatarini kurejeshwa makwao baada ya serikali ya Marekani kuchukua hatua za kuwarejesha makwao wale wote ambao wameingia Marekani bila legal documents. Hatma yao sasa inategemea mchakato wa kisheria na uamuzi wa mwisho wa mamlaka husika.