Kumbe Trump yuko live I see Hatanii.. 🙅♂️🙅♂️🙅♂️🙅♂️
Trump anataka kutufundisha 'living within our means,' athari zake kwa ajira na sekta ya afya ni kubwa. Serikali inapaswa ku-fund ha
ya ili yaweze kujiendesha. Unalala ukiwa USAID Country Director, unaamka huna kazi.