TANGAZO!
Kama wewe ni mpenzi wa Vitu vya asili kama hivi hapa naomba unipe kazi.Tunachonga na kubuni wenyewe vinyago aina tofauti kama unavyojione kwenye picha, hivyo tunatafuta masoko ndani na nje ya nchi.
Kuna watu wako nje ya nchi pia kuna watu wako ndani ya nchi wanahitaji kazi zetu wote kwa pamoja tutawahudumia bila kujali uko mkoa gani au nchi gani.
Tunasafirisha popote ulipo kikubwa ni makubalini ya bei kwa kila kinyago.
MALIPO.
Kunanjia nyingi za malipi inageme sehemu ulipo.
Naomba kila mtu akisama Tangazo hili share na watu wengine waweze kuona kuona kazi zetu. Asante sana.