Niambia unahitaji nini kupe picha na bei.
Kazi mzuri sana
Ukubwa ni kiasigani na bei zikoje?
@ally-kanagawa Bei inategemea unata ukubwa gani.
ukinitajia site ya picha nakupa bei.
Size Inches Centimeters
A4 8-1/4 x 11-3/4 in 21.0 x 29.7 cm
A5 5-7/8 x 8-1/4 in 14.8 x 21.0 cm
A6 4-1/8 x 5-7/8 in 10.5 x 14.8 cm
A7 2-15/16 x 4-1/8 in 7.4 x 10.5 c
Niambia unata yenye ukubwa gani?