Notifications
Clear all

MADA KATI YA MONDI NA KIBA NANI MKALI TUMALIZE UTATA.

14 Posts
10 Users
2 Reactions
332 Views
Merry Ommy
(@merry-ommy)
Posts: 8
Customer
Topic starter
 

 

mondi

Kati ya Diamond Platinum Vs Ally Kiba nani unamkubali zaidi. 

 
Posted : January 24, 2025 10:28 am
Sniper and Okra reacted
Okra
 Okra
(@okra)
Posts: 7
Deposit 50,000
 

@merry-ommy King Kiba na mkubali sana.

 
Posted : January 25, 2025 4:49 pm
Tiba Dioniz
(@tiba-dioniz)
Posts: 4
0.000
 

@okra Uko kama mimi I see nampe sana Ally Kiba.

 
Posted : January 25, 2025 5:01 pm
Sniper
(@sniper)
Posts: 71
Deposit 50,000
 

@merry-ommy mimi nakupenda wewe hatari.

 
Posted : January 25, 2025 5:08 pm
Merry Ommy
(@merry-ommy)
Posts: 8
Customer
Topic starter
 

Posted by: @sniper

@merry-ommy mimi nakupenda wewe hatari.

Serious Unapenda nini?

 

 
Posted : January 25, 2025 5:14 pm
Sniper
(@sniper)
Posts: 71
Deposit 50,000
 

@merry-ommy Napenda hizo bastora.

 
Posted : January 25, 2025 11:06 pm

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Grolly
(@grolly)
Posts: 6
0.000
 

Kiba

 
Posted : January 28, 2025 7:41 am
Tatu
 Tatu
(@tatu)
Posts: 15
0.000
 

Kiba namkubali sana 

 
Posted : February 4, 2025 9:14 am
KANU
 KANU
(@kanu)
Posts: 4
Service Provider
 

Mond tangu karudi kutoka Marekani watu wamemkataa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 

 
Posted : February 4, 2025 9:19 am
SHIRA
(@shira)
Posts: 6
0.000
 

@kanu Washabiki  wengi wa Ally Kiba ni washabiki wa Simba kwaiyo kuna mkono wa washabiki wa Simba hapa,hili jambo msilichukulie serous kivile.

 
Posted : February 4, 2025 9:48 am
Merry Ommy
(@merry-ommy)
Posts: 8
Customer
Topic starter
 

@shira Duh Simba kafikaje hapa?Kwani  wewe kambi gani kati ya Mond na Kiba?

 
Posted : February 4, 2025 9:54 am
SHIRA
(@shira)
Posts: 6
0.000
 

@merry-ommy Bila unafiki wa washabiki  wa Simba,namkubali Mond bilakupepesa macho.

 
Posted : February 4, 2025 10:06 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

(@mjasiriamali)
Posts: 15
0.000
 

Simba la Masimba mbona mnamkataa kulikoni?

 
Posted : February 4, 2025 10:11 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 433
Seller
 

Kiba.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

 
Posted : February 6, 2025 12:07 pm

Digxam

FREE
VIEW