Sikili hii video nilituma Tiktok kama wewe ni fanya biashara unasafiri kwenda China kuwa makini sana.
Bora kuagiza nchi zingine,kuna utapeli japokua sio wa moja kwa moja umenikuta nadhani pia kunawatu wengi wanakutana na hizi changamoto.
Sikikiza video hapo chini.
Umeandika kama unakimbizwa mdogo wangu,bidhaa fake mbona siojambo la kushangaza kutoka upande huo.🙀🙀🙀🙀🙀
Asante kwa taarifa.
Lakini si bei rahisi dada yangu tatizo liko wapi?wanongo tunapenda vitu vya bei poa nchina anakusikiliza kulingana na bajeti yako.
Siwezi kununua kitu china Najua hii michezo kitambo.
Ukavaa nguo za ndani nakuja tarifa hizi?
Pole sana.
I see
I see