Notifications
Clear all

OFFER KITABU GANI UNAHITAJI NIKUTUMIE

6 Posts
2 Users
1 Reactions
88 Views
Okra
 Okra
(@okra)
Posts: 7
Deposit 50,000
Topic starter
 

Hii ni habari njema kwa wapenzi na wasomi wa vitabu,mimi napatikana Posta Dar Es Salaam  kwenye maduka ya kuuza vitabu vilivyoandikwa na watu mbalimbali Duniani.

Kama wewe ni mpenzi wa vitabu basi naomba uniandikie aina ya vitabu nitumia picha yake hapa chini  na  bei zake  kwenye comments section,nitakujibu  harakasana.

Asante.Hakikisha una subscribe hii thread yangu na kushare kwenye mitanda ya kiamii.

 

Karibuni sana.

20250125 091524
 
Posted : January 25, 2025 6:29 am
Gen Zs
(@gen-zs)
Posts: 10
0.000
 

@okra Kitabu cha Kabendera  kinapatikana kwa bei gani?

 
Posted : January 25, 2025 7:08 am
Okra
 Okra
(@okra)
Posts: 7
Deposit 50,000
Topic starter
 

@gen-zs Kitabu kipi kinaitwaje?

 
Posted : January 25, 2025 7:15 am
Gen Zs
(@gen-zs)
Posts: 10
0.000
 

@okra In the name of President.

 
Posted : January 25, 2025 7:20 am
Okra
 Okra
(@okra)
Posts: 7
Deposit 50,000
Topic starter
 

@gen-zs Kaka hicho hatuna.

 
Posted : January 25, 2025 7:21 am
Gen Zs reacted
Gen Zs
(@gen-zs)
Posts: 10
0.000
 

@okra Sawa ukikipata naomba uni tag 🏷 mkuu nashida nacho sana.

 
Posted : January 25, 2025 7:24 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.


Digxam

FREE
VIEW