Kama uko mitaa ya Sinza,kuanzia Kijiweni kwendelea mbele hadi kwa Remy kama kuna mtu anaweza kunitafutia sehemu ya kukodi kwa lengo la kujenga kibanda kwajili ya kushushia na kuuza mbao plaase naomba mawasilino fasata.