Mnamatatizo sio bure,kwaiyo mkaona mtuletee habari za Simba makolo hapa kumbe ndio kazi mnafanya?
Habari za Simba zinatuhusunini?
@karuta Eti taarifa kwa umma au ulitka kuandika uma? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Ilanye mnamatatizo sijawai kuona mtu kajipostia habari zake mnamuanda simpost zakwenu nayie post makombe yenu kwani kawazia?
Mkileta habari hizi hii platform mtaiua mapema acheni ujinga nyie futaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@kidedea Nimecheka sana yaani platform ife kisa Yanga wamekosa pakuandika nyie punguza kidogo ujinga 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔
@admin kashirikiana na wahuni kufanya uhuni nakumbuka nipost picha ya Yanga baada ya muda ikafutwa na kati ya admin au moderators sasa leo nimekueleweni.
Tikisema tumipige kura kuna timu washabiki wake wataumbuka yaani wamechokambaya!
Kwaiyo habari za Simba ndio zinafanya mlie lie hivi?
Kumekucha.
Hii ni lini I see
Acha ujinga.