Notifications
Clear all

SENENE NAUZA SENENE WATAMU SANA 😍 😍 😍 😍 😍

39 Posts
12 Users
25 Reactions
401 Views
MWESI SENENE
(@mwesi-senene)
Posts: 16
0.000
Topic starter
 

 Hii ni habari njema kwa wapenzi wa Senene popote ulipo Dunia,2025 utapata Senene watamu sana kulinganisha na  miaka yote ya nyuma.

Kituo changu cha biashara niko Dar Liver side lakini natuma mzigo popote pale ulipo kwa gharama za mteja,

 

  • Nauza kunzia shilling 10,000 ni  nyingi sana najazo ujazo mkubwa.
  • Ukiwa nunua Senene wangu nitakupa offa za kutosha baada ya manunuzi.
  • utuwasiline kupitia 0678 222298.
mwesi senene
 
Posted : January 11, 2025 5:46 am
Lutalosa, Faraja, Doreen Kagaruki and 8 people reacted
Fanny
(@fanny)
Posts: 11
Deposit 100,000
 

@mwesi-senene Natafuta mtu seriously tufanye Biashara za Senene. Naomba utuambia Kama unapokea Pesa kwa DIG-CASH au laa. Naomba kujua kama unamzigo mkunwa kama unamzigo mkubwa ni mkubwa  kiasigani?

 
Posted : January 11, 2025 6:13 am
MWESI SENENE
(@mwesi-senene)
Posts: 16
0.000
Topic starter
 

Mzigo uko wakutosha pia napokea kwanjia ya DIG-PAY kwenye ewallet hakuna shida boss wangu.

 
Posted : January 11, 2025 6:26 am
Fanny
(@fanny)
Posts: 11
Deposit 100,000
 

@mwesi-senene Sawa Niko Zanzibar Naomba unicheki kwa Naomba hii kawaida au Whatspp namba yangu inashia na 065

 
Posted : January 11, 2025 6:32 am
MWESI SENENE
(@mwesi-senene)
Posts: 16
0.000
Topic starter
 

Sawa boss

 
Posted : January 11, 2025 6:32 am
MWESI SENENE
(@mwesi-senene)
Posts: 16
0.000
Topic starter
 

WALE WASIJUA MAANA YA DIG-PAY UNA TOP UP PESA KUTOKA KWENYE SIMU AU CARD YA BANK KUJA KWENYE ACCOUNT YAKO YA DIGXAM  KISHA UNAMLIPA MTU BILA KUMTUMIA PESA MOJA KWA MOJA HII INAONGEZA UZAWAZI NA ULINZI KWENYE MIAMALA YA  PESA KWENYE BIASHARA ZA MTANDAONI. KAMA UNATAKA KULIPA KWA NJII HII NI SAWA NAPOKEA.

 
Posted : January 11, 2025 6:46 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week. More Info.

(@manka)
Posts: 6
0.000
 

NASHIDA NA SENENE WA 20,000 NIKO TABATA BIMA USAFIRI DEVELIVERY BEI GANI HADI HAPA.

 
Posted : January 11, 2025 7:00 am
Lutalosa, Doreen Kagaruki, MWESI SENENE and 1 people reacted
MWESI SENENE
(@mwesi-senene)
Posts: 16
0.000
Topic starter
 

@manka Karibu sana!

Usafiri kutoka Liver kuja hapo Bima ni 2,000 kutoka kujumlisha 20,000 lipia 22,000 tu.

 
Posted : January 11, 2025 7:10 am
(@manka)
Posts: 6
0.000
 

Tayari nimelipa angalia e-wallet yako balance.namba yangu ni 0767 738241 nakuelekeza jinsi ya kunifikia.

 
Posted : January 11, 2025 7:18 am
MWESI SENENE
(@mwesi-senene)
Posts: 16
0.000
Topic starter
 

@manka Sawa Asante.DK 10 Mzigo wako utakuwa hapo.

 
Posted : January 11, 2025 7:20 am
(@manka)
Posts: 6
0.000
 

Poa

 
Posted : January 11, 2025 7:21 am
Shalom
(@shalom)
Posts: 39
Deposit 100,000
 

Habari! mimi nataka Senene wengi sana kwa bei ya jumla,Niko DRC Lumbumbashi,kama utakuwa tayari nitakupa namba za watu wa Taqwa au Classic wanipakilia mzigo wangu wanilete hapa.

Nalipa kwa DIG-PAY tu.

 
Posted : January 11, 2025 7:36 am
Lutalosa, Doreen Kagaruki, Africa Music and 1 people reacted

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

MWESI SENENE
(@mwesi-senene)
Posts: 16
0.000
Topic starter
 

@shalom Senene wapo wakutosha Naomba Naomba yako yenye Whatspp nikutumia picha na bei.

Naomba kijua hao Taqwa na Classic wana park wapi ili ulipia niwacheku.

 
Posted : January 11, 2025 7:39 am
Shalom
(@shalom)
Posts: 39
Deposit 100,000
 

Sawa +243 993438677 ni cheki whatspp.

 
Posted : January 11, 2025 7:46 am
MWESI SENENE
(@mwesi-senene)
Posts: 16
0.000
Topic starter
 

@shalom Asante sana kwakuniungisha

 
Posted : January 11, 2025 7:51 am
Mshangazi
(@mshangazi)
Posts: 12
0.000
 

Niko Mawasiliano hapa Law Schools ,bei gani delivery hadi hapa? 

 
Posted : January 11, 2025 8:00 am
MWESI SENENE
(@mwesi-senene)
Posts: 16
0.000
Topic starter
 

@mshangazi Hapo Mawasiliano Usafiri ni 2,000 tu.

Nikutumia wa bei gain?

 
Posted : January 11, 2025 8:07 am
MWESI SENENE
(@mwesi-senene)
Posts: 16
0.000
Topic starter
 

@mshangazi Nambo Naomba yako ya Simu nikutumia mzigo wako.

 
Posted : January 11, 2025 8:08 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week. More Info.

Mshangazi
(@mshangazi)
Posts: 12
0.000
 

0758 551 122

 
Posted : January 11, 2025 8:12 am
Mshangazi
(@mshangazi)
Posts: 12
0.000
 

Ikipita saa 10 jioni usilete nitakuwa nimeondoka hapa.Niko huku nyuma ya chuo.

 
Posted : January 11, 2025 8:14 am
MWESI SENENE
(@mwesi-senene)
Posts: 16
0.000
Topic starter
 

@mshangazi bodo ujalipia ukilipia dk 5 boda atakuwa hapo.

 
Posted : January 11, 2025 8:16 am
Sniper
(@sniper)
Posts: 71
Deposit 50,000
 

@mshangazi kumbe unakulaga hawa wa Dudu?

 
Posted : January 11, 2025 8:22 am
Sniper
(@sniper)
Posts: 71
Deposit 50,000
 

🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈wahaya wanapenda sana hii Kitu.

 
Posted : January 11, 2025 8:26 am
Sniper
(@sniper)
Posts: 71
Deposit 50,000
 

Home boy utawajua kupitia kwenye huu uzi 😂😂😂😂😂😂

 
Posted : January 11, 2025 8:28 am
Faraja reacted

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Africa Music
(@africa-music)
Posts: 3
0.000
 

@sniper Watoto buku mbili mnzangua sana tumewakibia Facebook na X mnakuja hadi huku?

 
Posted : January 11, 2025 8:38 am
Sniper
(@sniper)
Posts: 71
Deposit 50,000
 

Kama nakukera basi nipige ban wee veep?

 
Posted : January 11, 2025 8:41 am
 Juma
(@juma)
Posts: 5
0.000
 

Niko Kigamboni Kibada nipataje senene  bro?

 
Posted : January 11, 2025 8:56 am
Faraja reacted
Sniper
(@sniper)
Posts: 71
Deposit 50,000
 

@juma Nipigie Simu yangu hii hapa 0678 222298

 
Posted : January 11, 2025 8:59 am
Kandida
(@kandida)
Posts: 23
0.000
 

Simu yako inatumika Sanaa!

 

namba yangu mwisho ni  234 Naomba nitafute nikupe kazi.

 
Posted : January 11, 2025 9:05 am
Kandida reacted
MWESI SENENE
(@mwesi-senene)
Posts: 16
0.000
Topic starter
 

@kandida Pole sana tayari.

 
Posted : January 12, 2025 4:11 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week. More Info.

MWESI SENENE
(@mwesi-senene)
Posts: 16
0.000
Topic starter
 

@sniper Karibu nikuhudumie bro.

 
Posted : January 12, 2025 4:12 am
MWESI SENENE
(@mwesi-senene)
Posts: 16
0.000
Topic starter
 

@juma Umepata?

 
Posted : January 12, 2025 4:13 am
MWESI SENENE
(@mwesi-senene)
Posts: 16
0.000
Topic starter
 

Habari za jumapili wateja wangu!

Kama umepata mzigo wako naomba tukutane hapa na kupeana mrejesho lakini kama una maoni au malalamiko pongezi kuhusu huduma zetu  naomba maoni yako nitayafanyia kazi.

 
Posted : January 12, 2025 4:16 am
Camp reacted
 Camp
(@camp)
Posts: 2
0.000
 

@mwesi-senene Yes ni wengi pia watamu sana.

Nitakuagiza wengine.

 
Posted : January 12, 2025 4:50 am
Faraja
(@faraja)
Posts: 27
0.000
 

@mwesi-senene Mzigo bado upo?

 
Posted : January 12, 2025 5:11 am
(@lutalosa)
Posts: 5
0.000
 

@mwesi-senene Fanya kweli nipate hata kuonja boss vipi una pimia za 5,000 nije kuchukua?

 
Posted : January 12, 2025 5:36 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Kandida
(@kandida)
Posts: 23
0.000
 

Umechelewa sana.

 
Posted : January 13, 2025 5:53 am
MWESI SENENE
(@mwesi-senene)
Posts: 16
0.000
Topic starter
 

@kandida Asamahani sana.

 
Posted : January 13, 2025 5:59 am
Kandida
(@kandida)
Posts: 23
0.000
 

OK

 
Posted : January 13, 2025 6:01 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week. More Info.


Digxam

FREE
VIEW