Notifications
Clear all

NAFASI ZA KAZI. TUNAUZA STICK KWAJILI YA KUBANDIKA KWENYE SIMU.

4 Posts
2 Users
2 Reactions
16 Views
2
Topic starter

KAMA UNAHITAJI KUWA AGENT WETU WA KUBANDIKA STICKER KWENYE SIMU AINA MBALIMBALI NAOMBA UFANYE MAMBO YA KUFAUTAYO.

TUAMBIE DUKA LAKO LILIPO AU SEHEMU UNAKOFANYIA KAZI.

TUMBIE UNATAKA UANZE NA STICKERS NGAPI

TUMBAI UKO MKOA GANI.

TUTAKUPA VIFAA VYOTE VYAKUBANDIKIA STICKRES KWENYE SIMU.

IMG 0007
IMG 0006
IMG 0008

 

Kakwezi January 8, 2025 8:36 am

@juma-asanga Sicker kama hii bei gani?

JUMA ASANGA JUMA ASANGA Topic starter January 8, 2025 8:40 am

3,000 tu

Kakwezi January 8, 2025 8:42 am

@juma-asanga Za Simba zipo?

JUMA ASANGA JUMA ASANGA Topic starter January 8, 2025 8:43 am

Zote zipo.


Digxam

FREE
VIEW