Notifications
Clear all

Breaking News TUAMBIE UNATAFUTA KITU GANI CHA KUAGIZA KUTOKA NCHINI AFRICA KUSINI?

9 Posts
4 Users
2 Reactions
149 Views
2
Topic starter

Kama uko Tanzania hii ni habari njema kwako tuambie KITUGANI UNAHITAJI,BIDHAA GANI UNATAFUTA ULINGANISHE BEI KATI YA SEHEMU UNAKO NUNUA NA HAPA SOUTH AFRICA.

Agiza na sisi kitu chochote kutoka hapa Africa kusini ULIZA NITAKUTUMIA BEI ZA VITU VYOTE UTAKAVYO ULIZA.kupata bei na ghrama ni bure.

 

share page hii kwenye mitandao yote ya kijamii,watu wote mnaosoma habari hii naomba share hii post kwa watu wako wote kwanjia zote unazoziona zitasaidia kufukisha ujumbe huu mbali.

 

Karibu sana tuwauhudumie.

EmmyName October 26, 2024 1:31 pm

@gp-logistics Watu wengi bado kutumia hizi platform.

EmmyName October 26, 2024 1:32 pm

@gp-logistics Utaratibi ukoje?

David December 19, 2024 10:13 am

@gp-logistics spear za magari una deal nazo?

GP Logistics GP Logistics Topic starter December 19, 2024 11:54 am

@David ndiyo unataka spare ya Gari gani boss?

GP Logistics GP Logistics Topic starter December 19, 2024 11:54 am

@David ndiyo unataka spare ya Gari gani boss?

UBUNTUSCOFIELD December 24, 2024 11:04 am

@gp-logistics 0w16 liqui moly bei gani kutoka sauz

GP Logistics GP Logistics Topic starter December 26, 2024 3:47 am

@UBUNTUSCOFIELD Naomba maelezo zaidi kuhusu matumizi ya hii oil kama sikosei.

GP Logistics GP Logistics Topic starter December 29, 2024 9:43 am

Unahitaji kiasi gani?

1 Answer
0
Topic starter
IMG 20250107 WA0004
IMG 20250107 WA0003
IMG 20250107 WA0003
IMG 20250107 WA0002

Habari mkuu!

Oil nimepata hizi.


Digxam

FREE
VIEW